Sitakaa nimuamini tena mwanamke

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,025
1,173
Wakuu nilkua na binti tena nlkua nampenda sana kwa moyo Wangu wote
Amenisaliti na kapigwa mimba juu tulikua tumepanga mengi mazuri hapo mbeleni sasa yote hayo yameenda na maji


Am totally frustrated wanawake mtu akikupenda mpende ila nashukuru am a man na I will stand like a man

Nilichoamua Mimi sitokaa nimwamini mwanamke na now days wadada I look them like trash sina mapenzi nao tena moto Wangu umekufa ganzi.
 
kumuamini mwanamke ni sawa na kupepeta mchele gizani,
 
Una umri gani?
Binti naye ana umri gani?
Muda gani mmeishi pamoja?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Pole mkuu,mapenzi ndivyo yalivo unaweza ukapata au ukakosa,.yote maisha jaribu kua na positive mind,jua kila kitu kina sabab ya kutokea pole Sana Kiongoz
 
Sasa umekua
 
Nilikuwa namuamini sana mke wangu nikagundua jamaa alikuwa anabandua, niliumia sana . Wanawake ni nyoka
 
sasa kam akili zako zimeishia hapo kuona wanawake wote sawa sasa sie tukushauri nini au tuseme nini?? endelea kusimamia hisia zako na kuamini unachokiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…