Siri yafichuka, madaktari zaidi 700 watelekezwa mitaani zaidi ya mwaka 1 na nusu

Yes, we do produce around 700 MDs per year!!
Vyuo vya udaktari
1.MUHAS-Kila mwaka around 150-200 graduates!
2.KCM-around 120-150 graduates yearly
3.Bugando-Around 100-150 graduates yearly
4.Hubert Kairuki-Up to 80-120 graduates yearly
5.IMTU-Around 100 graduates yearly
6.UDOM-Wameanza na wao kutoa graduates from last year(around 100-150 graduates)
7.St Francis-Na wao pia wameanza kutoa graduates from last year
8.Peramiho
Kwa idadi ya vyuo hivyo kumbe tuna uwezo wa kuzalisha MDs hata 1500 yearly!
 
Khivi unafikiri ni kweli hao madaktari wako kitaa hawana kazi ? Hapa inakumbushwa serikali kuwa inawapoteza hao madkatari maana wengi wataingia sekta binafsi ambayo na huko hawaendi kutibu kwa asilimia kubwa

Sasa kama wana ajira tayari kwa nini mleta maada alete maada kuwa hawana ajira? Ana lengo la kutupotezea muda? Humu si mahali kwa kupotezea muda
 
So sad kama mpaka taaluma za afya wanakosa ajira, tumefikia pabaya sana, sasa taaluma nyingine sijui itakuwaje.
 
Back
Top Bottom