Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
14,999
31,290
IMG_20240529_215643_562.jpg

Utulivu wa nafsi ni mafanikio

Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa asilimia 75 ya wakazi wa hapa duniani hawana nafsi. Ikumbukwe binadamu anakamilishwa na vitu vitatu ambavyo ni mwili, nafsi na roho. Nikisema tafiti za kiroho namanisha wenye uwezo wa kuona vitu wanaona jinsi demons au mapepo wanavyoruka kutoka ndani ya mtu mmoja na kwenda kwa mtu mwingine.....💀

Binadamu wanaozaliwa kipindi hiki hawana nafsi kwa sababu dunia kuanzia mwaka 2000 kulianza reincarnation of Souls za wafu wa miaka ya 1800-1900- mpaka mwanzoni mwa 1950 kumbuka kuwa nafsi ambazo zipo katika reincarnation cycle ni zile ambazo zilifeli mtihani wa maisha wakashindwa kufaulu mitihani yao ya maisha hivo inawabidi warudie mitihani yao ili waweze kuendelea mbele 5d au mbinguni.

💚📌Ninapo sema kila nafsi ina mtihani wa maisha mfano wake ni kama hivi unaweza kuta matatizo yako ni familia, kusalitiwa, roho mbaya, chuki, kukosa mke mume, kukosa true love au mahusiano, addiction ya madawa ya kulevya au ngono au urahibu wowote ule kwa kifupi mtihani wako wa maisha ili uwende mbinguni ni kile kitu kinachokutesa na kile kitu unachotamani kukiacha kakini huwezi. Kama Ukifabila kukamilisha hicho jua umefeli lazima urudi tena hapa duniani tena mpaka ufaulu🌼🌼

Leo Tuanze na alama za mkononi

Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima yake ya maisha hapa ulimwenguni. Usomaji wa alama za mkononi hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia ambapo tutaweza kujua nyota yako, halisi, aura yako naajaliwa yako hapa duniani ikiwa ni pamoja na kujua njia ipi ya kupita

Mistari ya mkononi inawakilisha vitu vifuatavyo✋

💚Life line: huu mstari unasimamia afya na uhai. ( Rangi ya Kijani)

💓Heart line: huu mstari unasimamia mapenzi(upendo) na hisia (rangi ya pink)

👟Money line: huu mstari unasimamia kazi na bahati. (rangi ya Zambarau)

💙Head line: huu mstari unasimamia akili. (rangi ya Bluu)

❤Marriage line: maisha ya ndoa na mahusianio. (Rangi ya Nyekundu)

Kuna msemo usemao kwamba mkono wa kulia ni wa kike na wa kushoto ni wa wanaume katika usomaji wa viganja.

Hii ni kwa sababu upande wa mkono wa kushoto unahusishwa na wanaume na upande wa kulia na wanawake katika mila za Kichina📍

Katika usomaji wa mistari hiyo, jinsia hupuuzwa. Inaaminika kuwa mkono wa kulia ndio mkono mkuu kwa watu wengi na unawakilisha wakati wa sasa na siku zijazo, wakati mkono wa kushoto unawakilisha siku za nyuma na sifa ambazo mtu alizaliwa nazo🔶

Ni muhimu zaidi kusoma mkono wa kulia, isipokuwa kama unatumia mkono wa kushoto, ingawa mikono ya watu wengi ni linganifu (yenye tofauti ndogo ndogo)🌼

Muuonekano wa kwanza ya mistari ya viganja ni Rangi. Rangi ya mistari ikiwa angavu na yenye kuonekana vizuri inaashiria bahati nzuri.
Sasa nyosha kiganja na tusome mistari mitano mikuu mmoja baada ya mwingine

ukiijua funguo yako ya maisha ni ishara tosha ya mafanikio makubwa katika maisha yako yote na hiyo ndiyo dira yako

Utulivu wa nafsi ni mafanikio..

SHARE AS MUCH AS YOU CAN IF YOU FIND THIS USEFUL

Pia soma:
 
View attachment 3003188

Utulivu wa nafsi ni mafanikio...

Channel name @vitabuvyetu
Link t.me/vitabuvyetu

SHARE AS MUCH AS YOU CAN IF YOU FIND THIS USEFUL
 
Mkuu huko 5d ndo kukoje??kama hivi duniani au??namaanisha ukifaulu huo mtihani wako
 
Nimekuelewa vizuri, rangi zikionekana nikiashiria tosha sasa kiongozi.......

SWALI. Kama huwezi kuona kabisa rangi itakuwaje maana mpaka uwe na macho ya kuona rangi ndiyo utafaulu huu mtihani wa kujua hatima ya maisha yako.
(Ulicho eleza wewe ni namna ya kutambua kiganja chako, lakini sio kutambua hatima kwa kuziona rangi za kiganja)

Emu nieleweshe au hiyo mistari kuna wengine wanazo na wengine hawana.
 
Nitakufuata messeger
View attachment 3003188
Utulivu wa nafsi ni mafanikio

Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa asilimia 75 ya wakazi wa hapa duniani hawana nafsi. Ikumbukwe binadamu anakamilishwa na vitu vitatu ambavyo ni mwili, nafsi na roho. Nikisema tafiti za kiroho namanisha wenye uwezo wa kuona vitu wanaona jinsi demons au mapepo wanavyoruka kutoka ndani ya mtu mmoja na kwenda kwa mtu mwingine.....💀

Binadamu wanaozaliwa kipindi hiki hawana nafsi kwa sababu dunia kuanzia mwaka 2000 kulianza reincarnation of Souls za wafu wa miaka ya 1800-1900- mpaka mwanzoni mwa 1950 kumbuka kuwa nafsi ambazo zipo katika reincarnation cycle ni zile ambazo zilifeli mtihani wa maisha wakashindwa kufaulu mitihani yao ya maisha hivo inawabidi warudie mitihani yao ili waweze kuendelea mbele 5d au mbinguni.

💚📌Ninapo sema kila nafsi ina mtihani wa maisha mfano wake ni kama hivi unaweza kuta matatizo yako ni familia, kusalitiwa, roho mbaya, chuki, kukosa mke mume, kukosa true love au mahusiano, addiction ya madawa ya kulevya au ngono au urahibu wowote ule kwa kifupi mtihani wako wa maisha ili uwende mbinguni ni kile kitu kinachokutesa na kile kitu unachotamani kukiacha kakini huwezi. Kama Ukifabila kukamilisha hicho jua umefeli lazima urudi tena hapa duniani tena mpaka ufaulu🌼🌼

Leo Tuanze na alama za mkononi

Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima yake ya maisha hapa ulimwenguni. Usomaji wa alama za mkononi hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia ambapo tutaweza kujua nyota yako, halisi, aura yako naajaliwa yako hapa duniani ikiwa ni pamoja na kujua njia ipi ya kupita

Mistari ya mkononi inawakilisha vitu vifuatavyo✋

💚Life line: huu mstari unasimamia afya na uhai. ( Rangi ya Kijani)

💓Heart line: huu mstari unasimamia mapenzi(upendo) na hisia (rangi ya pink)

👟Money line: huu mstari unasimamia kazi na bahati. (rangi ya Zambarau)

💙Head line: huu mstari unasimamia akili. (rangi ya Bluu)

❤Marriage line: maisha ya ndoa na mahusianio. (Rangi ya Nyekundu)

Kuna msemo usemao kwamba mkono wa kulia ni wa kike na wa kushoto ni wa wanaume katika usomaji wa viganja.

Hii ni kwa sababu upande wa mkono wa kushoto unahusishwa na wanaume na upande wa kulia na wanawake katika mila za Kichina📍

Katika usomaji wa mistari hiyo, jinsia hupuuzwa. Inaaminika kuwa mkono wa kulia ndio mkono mkuu kwa watu wengi na unawakilisha wakati wa sasa na siku zijazo, wakati mkono wa kushoto unawakilisha siku za nyuma na sifa ambazo mtu alizaliwa nazo🔶

Ni muhimu zaidi kusoma mkono wa kulia, isipokuwa kama unatumia mkono wa kushoto, ingawa mikono ya watu wengi ni linganifu (yenye tofauti ndogo ndogo)🌼

Muuonekano wa kwanza ya mistari ya viganja ni Rangi. Rangi ya mistari ikiwa angavu na yenye kuonekana vizuri inaashiria bahati nzuri.
Sasa nyosha kiganja na tusome mistari mitano mikuu mmoja baada ya mwingine

ukiijua funguo yako ya maisha ni ishara tosha ya mafanikio makubwa katika maisha yako yote na hiyo ndiyo dira yako

Utulivu wa nafsi ni mafanikio..

SHARE AS MUCH AS YOU CAN IF YOU FIND THIS USEFUL
 
Yes unaaeza jua mtot wako wa kwanza ni jinsia gani kupitia kigaja cha mtot mmoja wao haidanfsnyi yn nikiangalia mkono wako najua kwenu ni jinsia gan wa kwanza kuzaliwa
 
Back
Top Bottom