Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
- Thread starter
- #41
Sasa ntaanza taratibu na huyu huyu Dory.. Ni wa mtaani ndiyo lakini sio makapi ni bakora ya ukweli na Yeye shida yake ananitafuta kila siku anywe tu bia.
Bado hana demand kubwa ametoka bushland na sasa ndo ameanza certificate mwaka jana. Leo namfungulia pochi sasa nimeamua kutokuwa mbahili maana wadau mmenifundisha sasa.
Ila naona na kipara huku chini lazima king'ae maana kutumia pesa always ni direct proportion na kuosha kipara.