Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 19,857
- 21,856
Unasababaisha mchafuko wa hali ya hewa ambao pia ni usumbufu, kero na kichefuchefu kwa wengine..
Sio kwasababu ya uchafu wa viatu vyako, uchafu wa miguu au soksi, inaweza kuwa ni tatizo la asili la kunuka miguu au tatizo la kiafya...
Usijiamini sana, harufu ya miguu yako na viatu vyako ibaki humo humo ndani ya viatu vyako tafadhali, inachefua sana kwakweli dada zangu na kaka zangu wapendwa...
Nashauri kujizuia kuvua viatu ofisini kwenu au kwako mnapokua wengi, kuepusha kero hata kwa wateja