bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Hawatoi povu km singular mama..! Kupenda miteremko ndiyo kupiga mayowe.Big up kwa single fathers wote!!!
Ila mtoto anakua vizuri akipata malezi ya mama (ata kama ni wa kambo) na baba!!! Oeni basiiiii!