SINGIDA: Basi la Mohammed Trans lapata ajali, watu kadhaa wafariki dunia

Dereva nuksi kweli kapiga pale kwa konda na keyboot
Ndivyo walivyo,akiona kinanuka anapeleka kwa konda.
Kuna ajali ilitokea Kisangara Mwanga miaka ya nyuma basi liligongana na semi,dereva wa semi alivyoona hapa ni uso kwa macho akaingiza kichwa porini basi likavaana na tela.

Mola awarehemu walifariki na awape subira wafiwa.
 
Back
Top Bottom