jajawajaja
Member
- Jul 3, 2020
- 5
- 100
Ningeona uzi mapema ningekushauri kituwana jamii forum, habarini za majukum.
naombeni ushauri ,ya kwamba ni hivi ninajua kuendesha gari vizuri sana yapata miaka 6 sasa Mara zote nilikuwa naendesha mjini tu hapa . nimepata safari ya gafla kutoka DAR KWENDA MORO gari binafs ipo na mafuta yapoya kutosha kwenda na kurudi ila sijawah kumiliki leseni je udereva na kesho asubui natakiwa niwe moro nifanye jambo chap nirud je bila leseni naweza nikatoboa na hawa trafic wetu.
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Ningeona uzi mapema ningekushauri kitu
wana jamii forum, habarini za majukum...