Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,793
- 8,734
nunua lg g2 mpya au second hand note 3 kwa bei hio. roughly zina same specs kama full hd screen, sd 800 processor, 4g lte, nk
lg g2 ina ram 2gb na note 3 ni 3gb.
kuna jamaa anauza lg g2 humu kwa laki 3 na nusu na kaymu zipo nyingi tu around laki 4. just make sure tu band za 4g zinafanana na mitandao yetu.
mkuu kivipi hapo kwenye red, unaweza kufanya nisiwalaumu tigo maana kila simu nayowapelekea kuunga 4g wanasema haipo kwenye code zao