Simba sports vs Majimaji, Songea leo tarehe 4.2.2017

Naona.maneno.ya kejeli na maneno ya karaha kisa furaha ya ushindi ...kama ni ushabiki ushabiki uwe na mipaka ...kama unanitukana ama unanikejeli mimi ama mwingine kisa simba unapoteza.muda wako...ushabiki ni furaha na kuheshimiana na utani usiokua na kejeli na dhihaka ...ukinikejeli.mimi haunipunguziii mimi miaka ya kuishi wala kusema kwamba ntakaa nalia ama nasikitika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…