Nina uhakika,wakati simba wanaandika hilo bandiko walikua wanacheka..
Simba anayecheka Mtu Kufa labda ni wewe na akili yako mbovu. Mwenye akili timamu hawezi kushangilia kifo cha Mtu asiyemfahamu kisa tu wanashabikia timu tofauti. Tunaona mara Kwa mara Manchester wanahizunika pamoja na Liverpool kwenye kumbukumbu ya vifo vya mashabiki wa Liverpool baada ya kuangukiwa na jukwaa, lakini wewe na umbumbumbu wako unaona kifo cha Mtu ni Jambo la kuleta ushabiki.Nina uhakika,wakati simba wanaandika hilo bandiko walikua wanacheka..