SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 6,631
- 10,839
Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred.
Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye tathmini ya kina ya kipa gani wa kuachana naye.
Kipaumbele changu kingekuwa kumpunguza kwanza Joshua Mutale ili kupisha usajili wa Mpanzu halafu niangalie kama naweza kupata striker mwingine mzoefu wa kusaidiana na Ateba (hapo maamuzi magumu itabidi yafanyike nani mwingine wa kupunguza). Baada ya hapo, Simba itakuwa na kosi la kupambania ubingwa wa vikombe vyote msimu huu.
All in all, Simba imefanya jambo jema kubaki na Lakred hadi sasa na kumrudisha kwenye fitness. Najua atapata timu fasta na Simba inaenda kurudisha pesa ya usajili wake.