Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Kukumbatia dini ni kukumbatia umasikini kwa sababu dini nyingi zinahamasisha ujamaa, na kuna mstari mwembamba sana kati ya ujamaa na umasikini, hii dunia kwa mifumo ya sasa ukitaka kutajirika hauna budi kuwa bepari
Ubepari ni ubinafsi. Na ubinafsi ndiyo tabia asili ya mwanadamu.
Kutaka kufanya ujamaa ni ujinga na kwenda kinyume na tabia asili ya binadamu ambayo ni ubinafsi aka ubepari
 
We jamaa nimekukubali sana,kuna watu wajinga wanafikiri ujamaa ni sera,ujamaa ni ujinga wa kupalilia umasikini.
Huwa siupendi kabisa ujamaa na hata wakati wa Bashiru kujidaidai eti ujamaa kumbe mawazo ya umasikini.
Kongole jamaa yangu.ujamaa na ushenzi unakaribiana
 
Mikopo hua wanachukua sana tu mara ya mwiso mo dewji kwenye interview moja hivi alisema anadaiwa karibu 5B sababu ya mkopo
Waislamu feki wasiojielewa ndio hawakopi
Halafu utakuta wao hawakopi halafu mbio wanaenda kwa Bakhresa au Mo Dewji awape msaada kujenga misikiti au madrasa au awasaidie.Wakati benki zipo na wao hawataki kukopa lakini biashara za Azam na Mo zikistawi sababu ya mikopo.wao mbio kutaka wapewe msaada ikiwemo kufuturishwa Ramadhani nk

siku za ijumaa hujaa wakiomba misaada na huku wakiwaombea dua ndeeefu za kuwa wazidi kubarikiwa kwenye biashara zao zilizojengwa na mikopo ya riba.
 
Ww orginal unaye ruhusiwa kula riba ni tajiri namba ngapi hapa Tz?
 
Back
Top Bottom