Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,974
- 6,229
Sikubaliani kabisa na huyu ndugu yangu mbowe na kwa upande wangu anakosa sifa hata za kuwa mgombea wa JMT kupitia chadema. Mimi ni mwana CCM by birth , ila hotuba ya Mbowe leo, CCM wenzangu tujiulize tunakwama wapi ?
Ule mmpango wa Mwalimu kuchota all creams kuanzia mashuleni aliuua nani ? Viongozi wengi kwa sasa most of them ni failures
Hivi mlitegemea Mbowe ataongea nini?
Mmeaibishwa mbele ya Rais ; pole Mama Lowasa najua hukutaka kusikia hayo but truth must be told na intellectual minds kama Mbowe.
iwekwe wazi Lowasa alikuwa mtumishi wa CCM lakini pia alikuwa mtumishi wa Chadema , that line was supposed to appear.
CCM imevurugika, nchi imeoza, na kuoza na kutoa Funza……. Pamoja na madhaifu yake JPM was the best president hata iweje hata mforce vipi ionekane tofauti.
Kwa sasa nchi inaongozwa na watu hata hawaeleweki, academic failures, nchi imekua yoyote anaweza kuwa chochote, ni ujanja wako. Zamani tulikuwa na watoto wa masikini wengi, lakini walikuwa wanafika kwenye position za nchi kwa brain zao. Sio sasa.
Nawaambia CCM, shikilieni hapo hapo hakuna tume huru, the minute mnaruhusu tume huru, hakika hamtoboi hata 20% of the total vote .
Any rational man hawezi kuichagua CCM ; kuna yoyote anajua nchi inaenda wapi ? Hata Mama hajui na ndio Rais , wewe nani ujue