Sijui nitamsaidiaje huyu rafiki yangu, uume wake haufanyi kazi kabisa

Hiyo kwa mjomba wangu ni jambo jepesi sana. Na uzuri hana gharama kubwa, gharama yake ni "kichimba mizizi tu" (gharama ya kuchimbia mizizi). Akikutana naye, tatizo limeisha, lakini ubaya anakaa Geita.
 
Sasa anatamani kupata mtoto au Kushiriki tendo?? kama anataka mtoto basi hata ku adopt anaweza, na kama ni kushiriki tendo basi haiwezekani atamani asichokijua, yeye atajuaje ladha ya kitu pasipo kujaribu,??? Tena hata hisia hana! Yani Ni kama mtu umkute analia kisa hajawahi kuonja ladha ya upepo, Nonsense.... nimewaza kwa sauti
 
Hela imekuwa tatizo kubwa!! Jamaa ana tatizo matapeli nao wanataka kumlia pesa zake?? Kama hana hisia yeyote ile ya dudu kusimama hata kwa mbali ni ishu ila kama ana nguvu hata kidogo tu naweza kumsaidia!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mhhhh huyo ajiunge na team Kaoge , anaweza burudika kwa njia nyingine maana hiyo ya sasa imeshindikana
 
Ukisoma biblia utagundua useja ni kipawa. Kuna watu wamezaliwa hivyo na kuna wengine binadamu wanawafanya kuwa hivyo.

Rafiki yako kama alizaliwa hivyo basi akae atulie amuulize Mungu nia na madhumuni ya kumleta hapa duniani.

Kifungu sikikumbuki ila useja wa kuzaliwa ni kipawa.
 
Wewe rafiki yake nawe ni tatizo,haiwezekani toka huko mlikotoka usijue kuwa rafiki yako ana tatizo gani,ilikuwa lazima ujiulize huyu rafiki yangu gem anapiga wapi na kama hapigi tatizo nini,kama wewe ulikuwa unapiga gemu ina mana anawajua au anamjua shemeji yake sasa wewe ulikaaje bila kumjua shemeji yako.

Umeleta uzi mzuri ila kwa mtu mwenye akili timamu ni kwamba wewe mwenyewe ndio jogoo hapandi mtungi.

Waswahili wanasema mficha ugonjwa .........

Sema ukweli hapa tatizo lako likoje usaidiwe.

Unauma uma ulimi hapa utapataje msaada hapa sio kwa watoto wenzio oooh.

Sema mwenzenu jogoo awiki nifanyeje kwisha

Navyojua mimi chuoni una rafiki alafu akose ata mmoja wa kumgonga kwa miaka yote daaah

Naomba nikubalie ni wewe mwenyewe au ili nikusaidie kama sio wewe sina msaada huyo mwenye tatizo aje yeye mwenyewe humu mjengoni.
 
Matola nakujua umeaza lini kuagua wewe,acha janja ya mjinii mwezako dushe alipandi wewe unataka kuleta usanii hapa sio mahala pake.
 
Wewe rafiki yake nawe ni tatizo,haiwezekani toka huko mlikotoka usijue kuwa rafiki yako ana tatizo gani,ilikuwa lazima ujiulize huyu rafiki yangu gem anapiga wapi na kama hapigi tatizo nini,kama wewe ulikuwa unapiga gemu ina mana anawajua au anamjua shemeji yake sasa wewe ulikaaje bila kumjua shemeji yako.

Umeleta uzi mzuri ila kwa mtu mwenye akili timamu ni kwamba wewe mwenyewe ndio jogoo hapandi mtungi.

Waswahili wanasema mficha ugonjwa .........

Sema ukweli hapa tatizo lako likoje usaidiwe.

Unauma uma ulimi hapa utapataje msaada hapa sio kwa watoto wenzio oooh.

Sema mwenzenu jogoo awiki nifanyeje kwisha

Navyojua mimi chuoni una rafiki alafu akose ata mmoja wa kumgonga kwa miaka yote daaah

Naomba nikubalie ni wewe mwenyewe au ili nikusaidie kama sio wewe sina msaada huyo mwenye tatizo aje yeye mwenyewe humu mjengoni.
Kati ya watu wote waliotoa maoni yao, Mi nitakaa kufutilia Mme mwenzangu kama inafanya kazi au LA!! Amekuwa mke wangu huyo. Masuala kama hayo ni siri ya mtu mwenyewe. Alafu soma maelezo vizuri sio unakurupuka tu kukomenti.
 
Back
Top Bottom