kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,024
- 5,054
Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala.
Kutokana na kutokumkubali hata majibu yake ya IPU sikutaka hata kusikiliza wala kutazama nilikuwa nasoma humu wanaosema apigwe chini.
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Ila nimeamua kusikiliza asubuhi hii, that woman kajibu vizuri na she is smart kuliko maprofesa wengi wa Tanzania ambao wakiwa na wazungu hata kujieleza kwenyewe hawajui wanabaki wakitetemeka.
Yule mama anajiamini, ana msimamo na anajua kujenga hoja. Kama wakimpiga chini absi ni ubabe wao tu lakini kwa upande wangu na kutomkubali kwangu, ila kwa hili nasema namuunga mkono.