Pierreeppah
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 1,563
- 1,981
Si nawaonaga hata hapa kwangu, dume anarangi ya njano mgongoniMkuu umeyajuaje hayo yote.
Si nawaonaga hata hapa kwangu, dume anarangi ya njano mgongoniMkuu umeyajuaje hayo yote.
Kwann usiulize ni nini kinasababisha hivyo umeuliza nani?Nani alie sababisha iwe hivyo?
Mkuu simu hizo na mtoto anakuwa kidigital digital..Hizi simu....!!!!
Jibu swali usiniulize swali!Kwann usiulize ni nini kinasababisha hivyo umeuliza nani?
Lakini si kwa mtindo huu aiseeMkuu simu hizo na mtoto anakuwa kidigital digital..
Kipindi hicho wakiwa bado pamoja na wakiwa shule lkn wakitoa nyimbo kali balaa hizi ni miaka ya hivi karibuni wakiwa washatengana ila JB na Werra kwa sasa ni marafiki wa karibu sana wakialikana kwenye hafla na kuimba baadhi ya ngoma zao za longDuh e bwana eeeh..,!!!!! Ilikuwa mwaka gani hii? Namuona kama JB Mpiana Na werrason
Kipindi hicho wakiwa bado pamoja na wakiwa shule lkn wakitoa nyimbo kali balaa hizi ni miaka ya hivi karibuni wakiwa washatengana ila JB na Werra kwa sasa ni marafiki wa karibu sana wakialikana kwenye hafla na kuimba baadhi ya ngoma zao za long
Kuungana si rahisi ila wanaweza kutoa nyimbo ya pamoja sababu wote wanajiona ni watemi hivyo hakuna wa kumpandilia kichwani mwezake. Wana mashabiki kama unavyoona Yanga na Simba japo kwa DRC ni zaidi ya timu. Mwenye kiburi sana ni JB Mpiana japo alipata pigo ambalo lilimsumbua sana kabla ya kujipanga na kuwa stable tena baada ya mwimbaji wake matata na mkongwe Chay Ngenge kujiondoa na kuanzisha kundi lake.Jamaa wakiungana pamoja tena watatoa vitu vikali kama zamani
Wakiwa hawana watoto awaishi safari za waganga na kumsahau Mwenyezi Mungu..Lakini si kwa mtindo huu aisee
sometimes muwe mnaona hata aibu kubisha vitu ambavyo viko wazi...kwahyo we ulijiumba mwenyewe?Kwann aliumba jua(nyota) nyingine nyingi sana billions and billions na kuweka sayari(planets)huko?? Au hapa hapa kwenye solar system yetu hizi sayari nyinginr zina kazi gani?
Na wana sayansi gani hao waliosema kuna supreme being?
BCBG na WMM wanataka kufanya friendly concert Angola.Kuungana si rahisi ila wanaweza kutoa nyimbo ya pamoja sababu wote wanajiona ni watemi hivyo hakuna wa kumpandilia kichwani mwezake. Wana mashabiki kama unavyoona Yanga na Simba japo kwa DRC ni zaidi ya timu. Mwenye kiburi sana ni JB Mpiana japo alipata pigo ambalo lilimsumbua sana kabla ya kujipanga na kuwa stable tena baada ya mwimbaji wake matata na mkongwe Chay Ngenge kujiondoa na kuanzisha kundi lake.
Litakuwa bonge la concert mkubwa asramsBCBG na WMM wanataka kufanya friendly concert Angola.
Yeah naskia kuna kibopa mmoja wa madini amewapa offerLitakuwa bonge la concert mkubwa asrams
Duh!! Na utakuta show linapigwa kwenye uwanja wa mpira. Mkuu hivi Angola wanaifahamu lugha ya french?Yeah naskia kuna kibopa mmoja wa madini amewapa offer
Alikua hana pupi?
Si nawaonaga hata hapa kwangu, dume anarangi ya njano mgongoni
jf inaangamiaNi kweli kabisaaaa..