Sifa kuu ya wanasiasa (hasa wa kiafrika) ni kusema Uongo bila aibu

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,381
29,627
Ipo mifano mingi ya kuonesha kuwa mwanasiasa hatakiwa kuaminiwa. Ipo mifano mingi ya wanasiasa waliokana maneno ambayo yaliwafanya watengeneze popularity katika jamii, lakini mwisho wa siku wameshindwa kusimamia yale waliyoyaamini ni mambo sahihi.

Leo tuone mfano wa mwanasiasa huyu wa Uganda, najua uongo wa wanasiasa wengi wa kitanzania tumeuzoea.

Rais Museven mwaka 1993 aliwahi kusema

"I have no sympathy for those who resist democracy. Democracy should not be resisted. Power belongs to the people, not to an individual. Why should you want power for yourself? Who are you? YOU ARE A SERVANT OF THE PEOPLE. If the people dont want you, then you go and do other things and they elect whom they want. I have no sympathy for them (Africa Report July/August 1993)."

Lakini ilipofika mwaka 2017 akabadili gia angani, yafuatayo ni maneno aliyoyasema

"I am not your servant because this is what some people have been saying that I should be a servant of Ugandans. I am not a servant of anybody. I am a freedom fighter. I am not employed by the country. I am fighting for myself and for my belief. If anybody thinks that he employed me, he is deceiving himself."

Jambo la kujifunza husiamini kauli yoyote ya mwanasiasa, labda salamu yake tu
 
Mwanasiasa iamini salaam yake tu na si maneno ya ahadi zake na pia mwanasiasa hana adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu-Zitto Kabwe
 
;“Kila chama kinahitaji kijijenge, uchaguzi uliopita hatukushinda sababu ya Lowassa. Uchaguzi huu umedhihirisha hilo sababu alipita katika kata zote lakini hawakushinda. 2015 tulishinda uchaguzi sababu ya nguvu za vyama vyetu,” amesema na kuongeza.

Asante Kambaya kwa kuwaumbua Nyumbu

Huwa tunawaambia kila siku kuwa fisadi hawezi kuwapeleka ikulu lkn wanajifanya kichwa ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…