Sidhan kama kuna anayewakumbuka watu hawa Kizazi hiki, Miaka hiyo hasa sisi tunajitambua

Yamenikuta mzee mwenzangu, sina changu
kiama chao ama changu,
Wanga wengi, anga hizi.
GWM, Kwanza Unit nimewakumbuka sakali wa hizi kazi
 
kuna jembe la kuitwa Dj Yusuph aliimba "mbele kwa mbele" ....Mambo mazuri Yapo mbele kwa mbele mbele kwa mbele old was gold those whr the times
 
Yamenikuta mzee mwenzangu, sina changu
kiama chao ama changu,
Wanga wengi, anga hizi.
GWM, Kwanza Unit nimewakumbuka sakali wa hizi kazi
Ukiishi kwa upanga na utakufa kwa upanga mungu ndiye anapanga kila kitu kwa kila
Yamenikuta mpaka najuta kuzaliwa heri nife kwa nini nisife maisha haya
Dunia sio mbaya walimwengu ndo wabaya watakusemasema kila jambo.......
 
Wakuseme
Hapo ndipo utakapo tafakari
Maharage ni mboga ama futari
 
18199225_1911864022161340_628740649058837685_n.png.jpg
Mimi namkumbuka huyu hapa,
hivi anaitwa nani vile...ahaaaa kumbe unamjua

View attachment 506282

View attachment 506283
 
Back
Top Bottom