Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,023
- 14,177
Siasa siku zote haitabiriki. Ukiona mwanasiasa ameanguka weka akiba ya maneno.
2015, Sophia Simba, Adam Kimbisa na Emmanuel Nchimbi walitoka hadharani kupinga kutenguliwa kwa jina la Lowassa katika kinyangayiro cha uraisi.
2017, Sophia Simba afukuzwa uanachama huko Adam Kimbisa na Emmanuel Nchimbi wakipewa onyo kali.
2017, akateuliwa kuwa balozi na kutupwa nchi ya mbali ya Brazil. Labda kama njia ya kumuweka mbali na siasa za ndani.
2021, jina lake lina tajwa tajwa kama moja ya watu wanaweza kurithi kiti cha Umakamu wa Raisi kutoka kwa Raisi Samia.
2022, anasogezwa karibu zaidi na kuhamishiwa kituo cha Misri.
Agosti 2023, ana rudishwa nchini Tanzania bila taarifa yoyote kuhusu kazi mpya atakayo pangiwa.
Disemba 2023, Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo anajiuzulu.
Jan 2024, Emmanuel Nchimbi anateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM.
Naamini kuhamishiwa kwake Misri 2022 na kurejeshwa kwake Tanzania 2023 haikua bahati mbaya.
Credit - Thomas Kibwana