Marekani ni nchi ya kidemokrasia
Ni kama mpira tu, mkiwa uwanjani mnapigana fauls za kutosha, game ikiisha mnapeana mikono na kupongezana then life la kawaida linaendelea
.kuu walitekana kama bongo,?
Kuna mtu alikoswa risasi mala mbili..kuu walitekana kama bongo,?
Sio kutekana tu, hadi kutundulisiana kulikuwepo lakini mwamba hakutoka kwenye reli....kuu walitekana kama bongo,?
Hata bongo Mzee mbowe analamba asali kimyakimya ila tumemgundua.
you have to learn beyond the line¡!!!¡(