Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,821
- 3,487
Nilikuwa nawashangaa wanaolala halafu wanakoroma, sasa juzi nilipata fursa ya kuwa jirani na mwenzangu opposite sex.
Nilishangaa ananiambia eti usiku nilikuwa nakoroma, nikabisha Kwa ujasiri wote, siku inayofuata ikabidi anirekodi nikiwa nakoroma.! Dah sikuamini kama ndo mimi.
Hivi hii kitu inasababishwa na nini na nini tiba yake!??
Kibaya zaidi mpaka mchana nikijilaza kidogo tu, naanza korooo korooo.! Dah yamenikuta.!