Salaam,
Kuna watu ushamba ni life style yao bt wao si washamba ni watu smart.
Kuna mtu, nafahamiana nae kitambo, kutokana na life style yake ya kishamba, nilijiaminisha ni bonge la mshamba, kumbe sio.
Hivi karibuni nilikua na issue kubwa ambayo ingenigharimu pesa na muda kuitatua bt nilipomshirikisha amenisaidia kuitatua kwa njia rahisi hadi nikabaki nashangaa.
Nilichojifunza, hatupaswi kuwachukulia poa watu kutokana na life style zao.