To go around world is to get exposure ambayo might be usefull in strategical development kwa taifa in terms of economic,culture,politics, science and technologies na vitu vingi ambavyo vina mashiko kitaifa, hususan lately tumepata gas nyingi sana ambapo inahitaji uwekezaji wenye tija,na wapi hasa kupata wawekezaji meanwhile kuna mikutano ya viongozi wa mataifa mbalimbali wanakutana kwenye mijadala tofauti za kujadili current issue inayo face dunia eg economic forum hii ni fursa kwetu hususan nchi kama hizi zinazo endelea kuna mengi ya kujifunza na kuleta hiyo exposure nyumbani,ni kweli usiopingika kuwa wa tanzania wengi tunachukizwa na hizi safari wanazo enda viongozi wetu ambazo sio za muhimu kwa taifa ambapo hata wakilishi wanaenda kuepuka unnecessary expenses, lakini kuna safari zenye tija na Maslahi kitaifa sioni sababu ya ziara nyingine kumtuma mwakilishi wakati raisi ilikuwa ni muhimu kwa yeye kuhudhuria, something iz not right hapa tuta-fail kuinua uchumi wetu kwenye level za ki-dunia kwa kukosa exposure ya msingiSijawahi skia wala kuona hatasku moja Rais wa Urus Putin na waliomtangulia wakitembelea nchi yeyote ya Afrika, lakin kuna mbunge mmoja kwasababu ya kuzowea kupinga kila jambo akatuma shutuma nzito na ushauri juu eti magufuri asafiri akachangamane na kujifunza uongozi kwakina Putin nasisi kwasababu ya uvyama tunashangilia aibu gani hii! Sjawai ona wala kuskia mkutano wowote wa kimataifa unaojumuisha marais wote kufanyika Afrika lakini leo Kuna mbunge anamshauri na kumshangaa magufuri eti kwann hasafiri, ngoja ni mkumbushe hakuna mkutano wowote wa kidunia unaozifaidisha nchi za dunia ya tatu, hakuna Rais bora wa dunia ya tatu anayeweka urafiki na nchi za magharibi ukiweka urafiki nao basi ukubali wananchi waumie ni principal hiyo. Nyerere alikaa madarakani miaka 24 alisafiri mara 65 sawa na mara 3 kwakila mwaka na alienda kama msemaji bila kuwa msemaji asingeenda na alienda kwasababu ya issue za ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika bila hivyo Natumaini asingeenda. Ni bora baadhi ya wabunge wakaendelea kutoa hoja za matatizo ya maji na barabara majimboni mwao haya mambo mengine yaliyowazid vimo muachieni zitto.
Aliyewaanzishia sera ya Elimu elimu Elimu unamuamini sana kamuulize amesoma mpaka kiwango gani? Afu msipende kuiga eti Elimu bongo Kuna elimu au magumashi?Je uliwahi kusikia raisi yyte duniani katika utawala wake hakuwahi kutoka nje ya nchi yake ,jifunze kitu hiki ww umejenga nyumba hapo ulipojenga kuna majirani lakin ww na familia yako mumeamua kukaa ndani tu hamtoki na hamuendi popote ss leo umefikwa na matatizo nani atakusaidia katika family mmoja wenu kafa jee hutohitaji msaada wa mazishi, kuna mifano mingi ila nakupa huo 1 tu na hyo pumba yako uloandika ELIMU ELIMU ELIMU
Je uliwahi kusikia raisi yyte duniani katika utawala wake hakuwahi kutoka nje ya nchi yake ,jifunze kitu hiki ww umejenga nyumba hapo ulipojenga kuna majirani lakin ww na familia yako mumeamua kukaa ndani tu hamtoki na hamuendi popote ss leo umefikwa na matatizo nani atakusaidia katika family mmoja wenu kafa jee hutohitaji msaada wa mazishi, kuna mifano mingi ila nakupa huo 1 tu na hyo pumba yako uloandika ELIMU ELIMU ELIMU
To go around world is to get exposure ambayo might be usefull in strategical development kwa taifa in terms of economic,culture,politics, science and technologies na vitu vingi ambavyo vina mashiko kitaifa, hususan lately tumepata gas nyingi sana ambapo inahitaji uwekezaji wenye tija,na wapi hasa kupata wawekezaji meanwhile kuna mikutano ya viongozi wa mataifa mbalimbali wanakutana kwenye mijadala tofauti za kujadili current issue inayo face dunia eg economic forum hii ni fursa kwetu hususan nchi kama hizi zinazo endelea kuna mengi ya kujifunza na kuleta hiyo exposure nyumbani,ni kweli usiopingika kuwa wa tanzania wengi tunachukizwa na hizi safari wanazo enda viongozi wetu ambazo sio za muhimu kwa taifa ambapo hata wakilishi wanaenda kuepuka unnecessary expenses, lakini kuna safari zenye tija na Maslahi kitaifa sioni sababu ya ziara nyingine kumtuma mwakilishi wakati raisi ilikuwa ni muhimu kwa yeye kuhudhuria, something iz not right hapa tuta-fail kuinua uchumi wetu kwenye level za ki-dunia kwa kukosa exposure ya msingi[/QUOT
tumia lugha moja, kiingereza au kiswahili.