Hata akipeleka hujaona kuwa mkulu anaongeza wanasheria bungeni wa kumlinda?
Labda maskini wewe na mimi mkuu. Tumepata Rais wa maskini sasa hivi Raha tu.nchi tajiri ila wananchi wake ni masikini ......
Uchumi unaporomoka mdogo mdogo
Kwa mbali i can see the great depression in Tanzania.. GOD help us all
Ha aha ....KUPANDA ama KUSHUKA kwa thamani ya fedha hutegemea FACTORS/VISABABISHO vingi sana.
Baadhi ya visababisho hivyo ni kama vile:
1. KAULI TATA za serikali ambazo hupeleka MIXED signals/Habari za wasiwasi katika SOKO la fedha.
2.KUKOSA confidence/IMANI ya WAWEKEZAJI katika taifa.
Aitha kutokana na MATUKIO, MATAMSHI ama VIASHIRIA vyoyote vya kuonyesha wawekezaji wana WASIWASI.
3.POLITICAL STABILITY/ AMANI na UIMARA wa nchi KISIASA.
Mfano mzuri ni kama jambo kama la KUMKAMATA Lowassa na kumpeleka kituoni maana ni PUBLIC figure na mmoja wa viongozi MAARUFU wa upinzani..
Hiyo ni FACTOR tosha KUYUMBISHA thamani ya fedha yetu. Najua pengine wengine hawatanielewa. Lakini ndo ilivyo.
4.KUNUNUA Dollar kwa pupa sababu ya HOFU ya KISIASA miongoni mwa mambo mengine.
Hivi ni viashiria tosha KUINUA ama KUSHUSHA thamani ya fedha yetu.
Bila kuwa na positive Political strategy/Mbinu CHANYA za kisiasa. Haya ndo huwaga matokeo yake.
Ebu tuambie bajeti ambazo upinzani walishiriki Dollar ilishuka kwa kiasi gani ?Dodoma mfupa ulimshinda fisi wewe nyau wa kwa bibi nyau utauwezea wapi?
Cha ajabu siku hizi huo wimbo haupo kabisa waende wakakumbane na lile vumbi original ni shida tuombe Mungu tu.
Kuna budget ilipangwa na serikali maisha haitakaa itekelezeke maana hata implementation yake bado na bado haitafaa... Mzee wa kuropoka mpk anaficha hela za maafa ili kufidia hakuna ukifikiria unaweza kupata shida what the meaning of budget?
Na bado miezi sita hakuna chochote mwezi wa nne ni kesho kutwa wanaanza budget ya mwaka 2017/2018
HAPA NAWAPONGEZA WAPINZANI KUTOKUWA PART YA HII BUDGET YA Changa la macho ha ha ha ha ha nile zangu maembe kukidhi njaa
PhD za bongo nyingi ni feki ndiyo maana wanaojiita wasomi Tanzania wengi wamejaa vioja.Alafu wewe Kijana tunakuonya acha kupingana na serikali ya chama tawala,rejea ripoti ya waziri wetu mtaalamu aliyebobea,alisema shilingi imeimarika.Kwanza unapinga mini wakati huna PhD!.Tutafuatilia IP address yako,eboo!
Nimeamini ID yako ni sahihi kwako.Depreciation ya sarafu yetu haina maana kwamba uchumi unateremka, manake kwamba uwezo wetu kwa kuingiza bidhaa kutoka nje au kupeleka watoto wakasome nje kwa mfano utapungua. Lakini wakati huo depreciation inaweza kufanya tuuze sana nje na hivyo kujiongezea fedha za nje. Ni panga ikatayo kuwili.
Ikumbukwe uchumi sio maendeleo, tukiongelea maendeleo tunaongelea uwezo wa watu kumudu maisha yao huku wakipata mahitaji yao muhimu pasipo ugumu. Kwa mtazamo wa kimaendeleo kwa kweli tunadidimia kwa kasi tangu tuchague uongozi mpya.
Nakushangaa sana nchi tajiri kama Tanzania hatuwezi tegemea wafadhili baada ya muda tutaanza kuwa donar country we subiri tu six month to come wamarekani na wachina watakuja kukopa kwetu na kuomba msaada wa chakula.Sasa namba zinajidhihirisha wazi, shilingi inashukaa kwa kasi sana. Ni juzi tu ilikuwa 2180Tsh kwa dola 1.
Unaambiwa utalii na soko letu la nje limepwayaa.
Wafanyabiashara wengi sasa wana ishi kwa hofu, wengi waanza kubadili fedha zao kwa dola ili kujihakikishia usalama wao kifedha.
Mapato yameshuka, fedha zote za TRA huishia kwenye mishahara na matumizi ya kawaida.
Fedha za maendeleo tunategemea mikopo ambayo bado inaonesha hatufai kukopeshwa.
EU na US sasa hawatoi misaada, nasikia na Mchina huyo kazingua kwenye mkopo wa ujenz wa reli.
Nasikia Wakubwa Dunian wametuacha tulivyo waone Mbio zetu zitaishia wapi.
Wafanyabiashara Kariakoo wengi mbioni kufilisika, madeni ya mikopo inawasumbua. Biashara haziendi.
Nnii hatma ya hii?