Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,581
Mkuu kwako unanunua 1800 nini au mnakoroga pipi kwa sukari guru?Hizo bei za sukari ni za kuuzia au kununulia?

Ni Tanzania tu utakuta kanjanja anahoji uwezo wa phd holder.Kwanini serikali inapenda kusema uongo hata kwa mambo yaliyo wazi? Waziri wa fedha amesema kuwa sarafu yetu (shilingi) imezidi kuimarika dhidi ya dola kwa mwaka huu wa fedha unaoishia. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Ukweli ni kwamba shilingi imezidi kuporomoka maradufu dhidi ya dola kwa kipindi cha mwaka huu wa fedha.
Kwa mujibu wa records za BOT, tarehe 1 July mwaka jana thamani ya dola moja ya Marekani ilikua sawa na TZS 2,126.07/= (bei ya kuuzia), leo tarehe 29 mwezi May 2017, dola moja ya Marekani ni sawa na TZS 2,280.80/= (bei ya kuuzia). This means sarafu yetu imeporomoka kwa 7.2% dhidi ya dola ya kimarekani.
Sasa Waziri Mpango anaposema sarafu imeimarika anamaanisha nini? Uongo huu ni kwa faida ya nani? Kama serikali inaweza kusema UONGO kwenye mambo yaliyo wazi kama haya, vp kwa yale yasiyo wazi?? Kwanini mnatafuta credit kwa kusema uongo? Mkisema ukweli mtapoteza nini? Shame on u.!!
Halafu utaambiwa kuwa inflation rate iko below 5 %!!Sukari 2,700 kutoka 1,800 na unga ulikua sh 1,000 sasa hivi 2,000
Mangi mtapika nyongo. Naona Ushalisha nguruwe majaniMjita amewashwa kinoma endelea kupiga zumari
Lakini mwisho wa siku anaumia raia maskiniShilingi ndembendembe chaliii kifo cha mende
50k mwaka jana ulikuwa unapata changu mmoja, mwaka huu unaweza kuwagonga hata 10 kwa 50k .... lolKwanini serikali inapenda kusema uongo hata kwa mambo yaliyo wazi? Waziri wa fedha amesema kuwa sarafu yetu (shilingi) imezidi kuimarika dhidi ya dola kwa mwaka huu wa fedha unaoishia. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Ukweli ni kwamba shilingi imezidi kuporomoka maradufu dhidi ya dola kwa kipindi cha mwaka huu wa fedha.
Kwa mujibu wa records za BOT, tarehe 1 July mwaka jana thamani ya dola moja ya Marekani ilikua sawa na TZS 2,126.07/= (bei ya kuuzia), leo tarehe 29 mwezi May 2017, dola moja ya Marekani ni sawa na TZS 2,280.80/= (bei ya kuuzia). This means sarafu yetu imeporomoka kwa 7.2% dhidi ya dola ya kimarekani.
Sasa Waziri Mpango anaposema sarafu imeimarika anamaanisha nini? Uongo huu ni kwa faida ya nani? Kama serikali inaweza kusema UONGO kwenye mambo yaliyo wazi kama haya, vp kwa yale yasiyo wazi?? Kwanini mnatafuta credit kwa kusema uongo? Mkisema ukweli mtapoteza nini? Shame on u.!!
Hata kampeini zao huwa za kiongo ongo sana, kwa hiyo ni mwendelezo wa uongo toka majukwaani hadi utekelezaji.Kwanini serikali inapenda kusema uongo hata kwa mambo yaliyo wazi? Waziri wa fedha amesema kuwa sarafu yetu (shilingi) imezidi kuimarika dhidi ya dola kwa mwaka huu wa fedha unaoishia. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Ukweli ni kwamba shilingi imezidi kuporomoka maradufu dhidi ya dola kwa kipindi cha mwaka huu wa fedha.
Kwa mujibu wa records za BOT, tarehe 1 July mwaka jana thamani ya dola moja ya Marekani ilikua sawa na TZS 2,126.07/= (bei ya kuuzia), leo tarehe 29 mwezi May 2017, dola moja ya Marekani ni sawa na TZS 2,280.80/= (bei ya kuuzia). This means sarafu yetu imeporomoka kwa 7.2% dhidi ya dola ya kimarekani.
Sasa Waziri Mpango anaposema sarafu imeimarika anamaanisha nini? Uongo huu ni kwa faida ya nani? Kama serikali inaweza kusema UONGO kwenye mambo yaliyo wazi kama haya, vp kwa yale yasiyo wazi?? Kwanini mnatafuta credit kwa kusema uongo? Mkisema ukweli mtapoteza nini? Shame on u.!!
so wameipoteza ili iimarike, lakini bado inaporomoka tu?Shilingi kupotea na kuimarika ni vitu viwili tofauti!
mkuu kwa vichekesho hujamboMi nilishangaa hadi masikio yakanisimama kama mbwa wa Unguja. Anyway, ni story kama story nyingine kwa Millard Ayo
unga kg 1 shs 2000
Sukari mtaani kwetu 2800kg 1.
Kaogopa kusema ukweli kwamba shillingi imeporomoka kulinda nafasi yake asije akapangiwa kazi nyingine
Mkuu utakuwa haujamuelewa vizuri profesa anamaanisha kama July mwaka jana tulikuwa tunanunua sukari kilo moja shs. 2200 - 2400 sasa ni 2700 mpaka 3000 ni kweli shilingi imeimarika sana hapo au wewe hulioni hilo mkuu?
Mteteaji wa mabadiliko tuyatakayo na/mabadaliko sahihi anasema hivi. Link Taifa la Wanung'unikao Mno: Tulideka, Tulidekezwa, au Tulidekeka?Shilingi ndembendembe chaliii kifo cha mende
Dr. Asiye na mipango na yule waziri wa "kupiga sound" na bosi wao wanaishi nchi nyengine kabisa. Nchi ya kusadikika. Sisi wa kitaa tunaishi nchi nyengine, nchi halisi ya umasikini, ujinga na maradhi na tunafurahia kutumbuliwa.Kwanini serikali inapenda kusema uongo hata kwa mambo yaliyo wazi? Waziri wa fedha amesema kuwa sarafu yetu (shilingi) imezidi kuimarika dhidi ya dola kwa mwaka huu wa fedha unaoishia. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Ukweli ni kwamba shilingi imezidi kuporomoka maradufu dhidi ya dola kwa kipindi cha mwaka huu wa fedha.