Wakati nasoma Shahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu kama mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa. Ila kwa sasa mambo yamebadilika. Wanafunzi wanakula vibanzi na sharubati, wanapata mishiko haraka kutoka kiotomotela...wanatumia kadihela, Aaah mambo Saaaafi!
Shughuli ni pale unapogundua hujui *kingereza* wala *kiswahili*