Sherehe ya Kichuguu Kufikisha Miaka 11 Jamii Forums

Hongera sana Mkuu Kichuguu ila miaka hii ya karibuni michango yako humu imepungua sana Mkuu. Huu uzi wako umenikumbusha miaka ile ya nyuma ambapo wengi wetu humu tulikuwa bado tuko wageni. Wakati ule ukifikisha jumbe 100 humu mtu anakufungulia uzi kwa kuweza kufikisha jumbe 100, 200, 300 1,000 na kuendelea. Ile ilikuwa ni namna ya kutiana moyo kuandika humu pamoja na kuwa wanachama walikuwa hawafiki hata 150! Angalia sasa tunacheza katika maeneo ya wanachama 400K ingawaje 20% zinaweza kuwa ni IDs mbili mbili au hata zaidi. Hongera sana Mkuu. Mungu akupe maisha marefu.
 
Ni kweli, ninai-miss sana JF ya zamani ambayo ilikuwa inatembea kwa nondo za hali ya juu sana. Mambo yaliharibiwa sana na uchaguzi wa mwaka 2010 kwa vile kuna makamu mwenyekiti CCM niliyemfungulia mashtaka aliyedai kuwa JF ni ya Chadema na hivyo kusababisha Katibu Mwenezi aajiri vijana wengi kujaa hapa na kujaza ushuzi wa matusi tu. Ingawa makamu mwenyekiti huyo aliingia mitini na kusababisha kesi yangu kuwa ngumu kufuatilia, ila alichangia sana kuharibu jukwaa hili. Angalia hata uzi wangu huu ambao ni wa kawaida kwenye social fprums lakini tayari kuna watu weshaanza kuingiza ushuzi. Baada ya uchaguzi wa 2010 kweli michango yangu hapa ilipungua sana ingawa bado ni home page yangu na huwa napitia thread nyingi sana kila siku.
 
Nakushauri Usheherekee siku hiyo kwa style ya kuwa muhamasishaji wa kuwahamasisha watu wajiunge JF, ifanye kazi hiyo kuanzia ofisini kwako, mtaani kwako, kwenye daladala na hadi bar,club, nyumba za ibada n.k
Hakika unaweza kuwainvite watu wenye michango mikubwa na daima hawawezi kukusahau
 
Mawazo mazuri sana haya; kibaya ni kuwa situmii daladala, siendi kwenye baa, mtaani kwangu kila mtu ana fence yake na hakuna anayeijua Tanzania, nyumba yangu ya ibada inahusisha watu wengi wasiojiua Tanzania kabisa, na kazi yangu hainirihusu kujihusisha na mambo yoyote ya kisiasa ofisini.

Hata hivyo nitajitahidi kutumia mianya itakayotokea kutimiza ushauri huu.
 
Hata uki-share matukio ya humu kwenye mitandao ya kijamii pamoja na contact ulizonazo kwenye simu na email utasaidia sana,
Karibu TZ mkuu
 
Wewe umejiunga wakati jukwaa limeshabadilika kutoka Jambo Forums na kuwa Jamii forums, na vile vile idadi ya post za kila mwanachama kuwa zimeshaaza kuhesabiwa upya nadhani mara mbili hivi, kwa hiyo hujui kuwa tulishawahi kuwa na posts zaidi ya elfu kumi na likes zaidi ya elfu saba kabla ya mwaka 2010. Uchaguzi wa 2010 ulileta wachangiaji wengi wasiokuwa na mantiki hivyo wengine tukapunguza spidi ya kupost mambo hapa. Idadi ya post na likes siyo kipimo cha uchangiaji mzuri; hata hiyo post yako ya msitali mmoja nimekupa like japokuwa haina mantiki yoyte.

..hongera sana kwa michango yako hapa JF.

..michango yako ina elimisha na kufikirisha. Nimefaidika kwa uwepo wako hapa.

..YES, jamii forums imebadilika tangu uchaguzi wa 2015.

..JF uliyojiunga nayo ilikuwa ya kama an "elitist" forum kwa kiwango fulani.

..baada ya wimbi la wanachama wapya kujiunga, JF "mpya" ina reflect hali halisi ya makundi mengi zaidi ya waTz na fikra zao.

..@Kichuguu, mazingira mapya hapa JF yasikuvunje moyo. Wengine bado tuna shauku ya kusoma michango yako.Unapoanzisha mada yoyote usisahau kutu "tag."
 
Mawazo mazuri sana haya; kibaya ni kuwa situmii daladala, siendi kwenye baa, mtaani kwangu kila mtu ana fence yake na hakuna anayeijua Tanzania, nyumba yangu ya ibada inahusisha watu wengi wasiojiua Tanzania kabisa, na kazi yangu hainirihusu kujihusisha na mambo yoyote ya kisiasa ofisini.

Hata hivyo nitajitahidi kutumia mianya itakayotokea kutimiza ushauri huu.
Hongera babu..
Mm nimekufaham kupitia post za tukio la Entebe.. kwa uzi wa the bold nikaona ww ni bonge la babu lenye hekima sana Hongera sana kama upo dar usisite kunialika..
 
Back
Top Bottom