Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,083
Kwa Utawala wa Magufuli, hakutakuwa na maandamanoSasa aandamane ndio ataijua vizuri sura ya JPM
Duh! Kwani kumkubali ni lazima awe ameshiriki uchaguzi?Si alikuwa jela wakati wa uchaguzi mkuu, sasa kamkubali kivipi?
JF siyo ya kimatabaka unavyofkkiria. Wislamu wa Jf? Hovyo kabisa.Sasa hawa waislam wa jf mbona wanasema tofauti..
Kisha mpongeza tayari, hayo mengine ni yako na una sababu zako."Icons" za Taifa this term zitachokonolewa ili mradi tu zitoe neno lenye positive attitude juu ya Rais then liwe ndiyo front bolded heading katika magazeti ya "chama".
Ponda hakuwa kuukataa au kutoukubali uongozi wa awamu zingine ila HAKI ndiyo imekuwa ikimkataa Ponda (Ponda vs Right). Between the line katika hiyo habari bado utaona Ponda anapambana tena vs haki ya kikatiba ya shughuri za kisiasa (mikutano).
Ijumaa Karim....
Hilo sasa ukamuulize mwenyewe.Si alikuwa jela wakati wa uchaguzi mkuu, sasa kamkubali kivipi?
Amina sana.Kwa Magufuli kila goti litapigwa.
Chadema wote watakusanyika na kusujudu na kutubu .
Nadhani kwa wafanyabiashara na walala hoi kama mimi hali ni kinyume kabisa.View attachment 364061
- Sheikh Ponda amkubali JPM
- Amuunga mkono urudishaji mali za Waislam
- Amuomba kuingilia kati zuio la mikutano ya kisiasa.
Ni miongoni mwa dondoo zilizopo kwenye gazeti la Majira. Hakika Rais Magufuli anakubalika kwa kila makundi ya kijamii
Kila mtu ana mtazamo na maimamo wakeSasa hawa waislam wa jf mbona wanasema tofauti..
MkuuKisha mpongeza tayari, hayo mengine ni yako na una sababu zako.
Ingekuwa kinyume ungeshinda JF kupost utumbo? Fanya kazi kwa bidii utafanikiwaK
Nadhani kwa wafanyabiashara na walala hoi kama mimi hali ni kinyume kabisa.
maandamano ni haki ya kikatiba na yanaweza kuwepo hata maandamano ya kumpongeza rais haya nayo vipi?Kwa Utawala wa Magufuli, hakutakuwa na maandamano
Wananchi hawana sababu ya kuandamana. Rais Magufuli ni msemaji waomaandamano ni haki ya kikatiba na yanaweza kuwepo hata maandamano ya kumpongeza rais haya nayo vipi?