Buzi Nene
Senior Member
- Feb 10, 2020
- 148
- 327
Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri.
Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi kuomba hizo nafasi kwani mara nyingi waajiri hukataa kusaini hizo barua.
Ushauri wangu hicho kipengele kitolewe au kiboreshwe kwa namna ambayo itamsaidia mtumishi husika.
Karibu sana kwa ushuhuda mliokutana na hii changamoto