Kuelekea 2025 LGE2024 Shamira Mshangama awataka wazee kuiombea CCM ili iendelee kubaki madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
876
2,373
Wakuu,

Baada ya JK kusema siku chache zilizopita kuwa ukitaka nchi itulie wewe kamata wazee, inaonekana vijana wa UVCCM wameanza kupita mule mule

Shamira Mshangama ambaye ni mwanafamilia wa WCB Wasafi na mke wa Kim Kayndo hivi karibuni alitembelea kituo cha kulea wazee na wasiojiweza akiwa katika ziara fupi ya kichama Mkoani Kagera.

Shamira alikabidhi mashuka, mchele, sukari, sabuni za kufulia, chumvi, mafuta ya kupikia, na katoni za maji kama msaada kwa wazee hao na kuwaomba wazee kuiombea CCM iendelee kubaki madarakani.


SMM.png

Hizi sio kampeni kweli wakuu?

Kwanini kila ukawape msaada alafu uanze kuingiza mambo ya CCM humo ndani?


photo_2024-10-28_13-32-31.jpg


photo_2024-10-28_13-32-27.jpg


photo_2024-10-28_13-32-22.jpg
 
Back
Top Bottom