TechTino Member Oct 16, 2016 71 25 Jun 7, 2017 #1 Anayehitaji shamba maeneo ya Morogoro karibu na mto Ngerengere (Sangasanga) zipo hekari 100 anaweza kununua zote kwa pamoja ni 25 million. Pia kama unahitaji kiasi kidogo wasiliana na No 0786361528 au 0763361528.
Anayehitaji shamba maeneo ya Morogoro karibu na mto Ngerengere (Sangasanga) zipo hekari 100 anaweza kununua zote kwa pamoja ni 25 million. Pia kama unahitaji kiasi kidogo wasiliana na No 0786361528 au 0763361528.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 Jun 7, 2017 #3 Liko karibu na kambi ya makomandoo?
Erick B Senior Member May 25, 2017 107 81 Jun 8, 2017 #4 PROF NDUMILAKUWILI said: Liko karibu na kambi ya makomandoo? Click to expand... Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua...
PROF NDUMILAKUWILI said: Liko karibu na kambi ya makomandoo? Click to expand... Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua...
D Daud26 JF-Expert Member Jul 29, 2015 1,222 819 Jun 8, 2017 #5 Erick B said: Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua... Click to expand... Wajeda wanatabia ya kuchukua kwa nguvu maeneo karibu na kambi ata kama una hati.(wanapohitaji eneo kwa kazi zao) Wanaema ardhi ni ya serikali
Erick B said: Taarifa ni nzuri lakini kua makini kuangalia usiingie usiuziwe kambi ya Jeshi... ! hapo ndipo utakapo gundua kua... Click to expand... Wajeda wanatabia ya kuchukua kwa nguvu maeneo karibu na kambi ata kama una hati.(wanapohitaji eneo kwa kazi zao) Wanaema ardhi ni ya serikali
TechTino Member Oct 16, 2016 71 25 Jun 11, 2017 Thread starter #6 PROF NDUMILAKUWILI said: Liko karibu na kambi ya makomandoo? Click to expand... hapana sio huko kaka kama huna info vizur its better ukawa msikilizaji tuu
PROF NDUMILAKUWILI said: Liko karibu na kambi ya makomandoo? Click to expand... hapana sio huko kaka kama huna info vizur its better ukawa msikilizaji tuu