nitafute inbox.Wadau natafuta shamba la kununua kama ekari 40 zikiwa zimegawanyika kama ifuatavyo;
Ekari 10 zinazofaa kwa mazao ya bustani na yale karibu na maji
Ekari 10 zinazo faa kwa mpunga na ziwe na karibu na maji
Ekari zozote zaidi ya hiso ziwe kwa mazao yeyote hasa mahindi.
Niko moro hivyo kama yanapatikana karibu na moro, mvomelo, kirosa etc nitashukuru.
Ata Mimi nahitaji ekari kumi ila shamba liwe na maji nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji
Shamba lipo zuri sana lenye rutuba ya kutosha.Ata Mimi nahitaji ekari kumi ila shamba liwe na maji nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji
Usitishe watu mkuu sio kila mto una mamba.Hilo la kando kando ya maji wewe utakuwa tu unatafuta kuliwa na Mamba!
Bei gani per ekaShamba lipo zuri sana lenye rutuba ya kutosha.
Ni ekari 17 lina chanzo cha maji cha kudumu, vifaa vya bustani, kivuli cha miti ya matunda( mifenesi, miembe na parachichi) kinachoruhusu ufugaji wa kuku, nguruwe, mbuzi,ngombe na samaki kwa wingi.
Linafaa kwa kilimo cha bustani kama vile vitunguu, matikiti, tangawizi, hoho n.k
Lipo Turiani. Mimi ndiye mmiriki na nitakuuzia kwa bei nafuu sana.
Tuwasiliane, KARIBU SANA.
Shamba lipo zuri sana lenye rutuba ya kutosha.
Ni ekari 17 lina chanzo cha maji cha kudumu, vifaa vya bustani, kivuli cha miti ya matunda( mifenesi, miembe na parachichi) kinachoruhusu ufugaji wa kuku, nguruwe, mbuzi,ngombe na samaki kwa wingi.
Linafaa kwa kilimo cha bustani kama vile vitunguu, matikiti, tangawizi, hoho n.k
Lipo Turiani. Mimi ndiye mmiriki na nitakuuzia kwa bei nafuu sana.
Tuwasiliane, KARIBU SANA.
SH400,000@acre shamba jeupe unalima kwa trekta.Bei gani per eka
Mkuu upo chini sana ndugu yangu.Kisima kwa laki mbili VP mkuuu hizo nne parefu
Haipo mbali sana ni mwendo wa saa1:00 kwa noah na sehemu kubwa ni rough road.(Barabara ipo hatua za mwisho kwenye ujenzi kiwango cha lami)Mkuu Kisima, Turiani iko umbali gani kutoka Moro mjini? Nipe contacts zako nikucheki nikirudi Town.