SGR train prices to Mombasa finally released by Transport Ministry

kuanzia sasa kwenda mbele, jifundishe kuuliza swali vizuri... "don't ask generic question".. usiulize mtu 'ahakikishe' tu... mwambie ahakikishe hiki na kile au hili na lile...

Comment yangu ilikua
Haijaona inland Container mpya hapo kwa picha iliyojengwa Nairobi????? iko na capacity ya 480,000TEU! (Hio ni nusu ya Dar!!!!)
lengo kuu la hii reli yetu ni cargo, ndo maana treni za abiria ni tano pekeyake, lakini za mizigo ni 49!!!!... nina uhakika hapo hio ya Dar-Moro hamtanunua hata treni zaidi ya 30... ethiopia walinunua 32 pekee
alafu wewe ukasema
Acha ubishi wa kijinga,una uhakika?hakikisha basi.

alafu nipokwambia be specific ukasema
Kwani kitu gani umesema una uhakika nacho?haya ngoja nikisaidie,hakikisha kua tz hawawezi nunua zaidi ya behewa 32
MIMI SIWEZI NIKASOMA AKILI YAKO, ukiangalia hio comment yangu ya kwanza hapo kuna statements kama tano ambazo mtu yoyote anaeza dai ni thibitishe

1) Nikasema port mpya ya ndani ya Nairobi ni nusu ya DAR kwa ukubwa
2) lengo kuu ya reli yetu ni cargo ambayo iko na treni 49 wakati za abiria ni 5.
3)Ethiopia walinunua 32
4) nina uhakika dar haitanunua zaidi ya 30

sasa ulipo niuliza nihakikishe sikujua unataka ni hakikishe jambo jani kati ya hizo... anyway, sasa vile ume uliza swali tena nimekuelewa ni jambo gani unataka nihakikishe....

Kitu cha kwanza; sijasema hamuezi nunua (Can't buy), nimesema hamtanunua (Won't buy)... nimetumia simple logic ambayo inamake sense...
Ukiangalia Kenya, nairobi ni mji mkuu wa kibiashara na uchumi kwahivyo mizigo mingi inayoingia Mombasa inaenda Nairobi (karibia 40%)alafu inafywatwa na Mombasa ambayo haihitaji usafiri wa reli kufika inakokwenda hapo mombasa .
Hapo Tanzania Dar ndo nikama Nairobi (Kiuchumi) kwahivyo mizigo kiasi kikubwa ikiingia bandari ya Dar, tayari imeshafika nyumbani, mizigo iliyobaki ndo inaenda Dodoma--->Tabora-->kwenda mbele kwa miji mingine.....
Ukienda ethiopia, Adis Ababa iko katikati kama vile Nairobi, Kwahivyo mizigo mingi ikiingia bandari ya Dgibouti , kiasi kikubwa kinaenda Addis..

Sasa ukiangalia takwimu, Ethiopia inaimport tani karibia 18mln kwa mwaka, Tanzania ni tani 16mln kwa mwaka, na Kenya ni 27Mln kwa mwaka...

Sasa ikiwa Ethiopia imenunua treni 35 (Tatu za abiria 32 za mizigo), Kenya imenunua treni 56(tano za abiria na zengine ni mizigo na shunting mbili), unafikiri Tanzania itanunua treni ngapi kama import ni tani 16mln tena kiasi kikubwa flani kiaingia dar bila kuhitaji usafirishaji wa reli
 
This spells doom for the many hotels and their employees located along the Msa - Nairobi road that depend on the bus passengers who use the route. Sipati picha what will become of mwembe tayari
 
This spells doom for the many hotels and their employees located along the Msa - Nairobi road that depend on the bus passengers who use the route. Sipati picha what will become of mwembe tayari
mwembe is chaotic...if the sgr will reduce congestion in mwembe and help bring back sanity in that place I will be a very happy man
 
kuanzia sasa kwenda mbele, jifundishe kuuliza swali vizuri... "don't ask generic question".. usiulize mtu 'ahakikishe' tu... mwambie ahakikishe hiki na kile au hili na lile...

Comment yangu ilikua

alafu wewe ukasema

alafu nipokwambia be specific ukasema

MIMI SIWEZI NIKASOMA AKILI YAKO, ukiangalia hio comment yangu ya kwanza hapo kuna statements kama tano ambazo mtu yoyote anaeza dai ni thibitishe

1) Nikasema port mpya ya ndani ya Nairobi ni nusu ya DAR kwa ukubwa
2) lengo kuu ya reli yetu ni cargo ambayo iko na treni 49 wakati za abiria ni 5.
3)Ethiopia walinunua 32
4) nina uhakika dar haitanunua zaidi ya 30

sasa ulipo niuliza nihakikishe sikujua unataka ni hakikishe jambo jani kati ya hizo... anyway, sasa vile ume uliza swali tena nimekuelewa ni jambo gani unataka nihakikishe....

Kitu cha kwanza; sijasema hamuezi nunua (Can't buy), nimesema hamtanunua (Won't buy)... nimetumia simple logic ambayo inamake sense...
Ukiangalia Kenya, nairobi ni mji mkuu wa kibiashara na uchumi kwahivyo mizigo mingi inayoingia Mombasa inaenda Nairobi (karibia 40%)alafu inafywatwa na Mombasa ambayo haihitaji usafiri wa reli kufika inakokwenda hapo mombasa .
Hapo Tanzania Dar ndo nikama Nairobi (Kiuchumi) kwahivyo mizigo kiasi kikubwa ikiingia bandari ya Dar, tayari imeshafika nyumbani, mizigo iliyobaki ndo inaenda Dodoma--->Tabora-->kwenda mbele kwa miji mingine.....
Ukienda ethiopia, Adis Ababa iko katikati kama vile Nairobi, Kwahivyo mizigo mingi ikiingia bandari ya Dgibouti , kiasi kikubwa kinaenda Addis..

Sasa ukiangalia takwimu, Ethiopia inaimport tani karibia 18mln kwa mwaka, Tanzania ni tani 16mln kwa mwaka, na Kenya ni 27Mln kwa mwaka...

Sasa ikiwa Ethiopia imenunua treni 35 (Tatu za abiria 32 za mizigo), Kenya imenunua treni 56(tano za abiria na zengine ni mizigo na shunting mbili), unafikiri Tanzania itanunua treni ngapi kama import ni tani 16mln tena kiasi kikubwa flani kiaingia dar bila kuhitaji usafirishaji wa reli
Wewe unataka tu ubishi ili uonekane much know,kwa hivyo vyote ambavyo umesema kuna hata kimoja umetamka kwa maandishi yako kua una UHAKIKA navyo?au ulitaka nikusome akili yako kwa sababu umeandika basi moja kwa moja una uhakika navyo?

Turudi kwenye jibu ambalo umelichelewesha kwa sababu za u wanna be much know wako

Sio kweli kwa kua Dar ni bandari na pia mji wa kibiashara basi mizigo haitohitaji reli kuisafirisha.35% ya mizigo yote inayopita hapo bandarini inaelekea Zambia na Congo sana sana,na mipango ipo Rwanda nayo kuongeza kupitishia mizigo yao hapo. Na hata ukiangalia urefu wa hizo reli ni tofauti kabisa ,huwezi kua na reli ya zaidi ya km 1300 then ukawa na mashine chache za kutembeza.
 
Zambia iko upande wa kusini, SGR yenu inayojengwa kwasasa haitabeba mizigo ya zambia..
Anyway Mimi siongelei long-term future naongea kuhusu short immediate term... Yani Dar-Moro300km VS Msa-Nairobi 400km...
unajua kwamba Kenya inampango wa kuweka stima by 2020 ambapo reli hii itakua imefika Kampala, kwahivyo treni zitaongezwa nyengine za umeme, hii yenu ya dar-Moro itaisha 2018-2019, by the time reli yenu itafika rwanda pia yetu itakua ilifika Kampala kitambo sana!

Haya basi, hakuna haja tubishane, sote tuko hapa hapa, Dar ikitangaza watanunua treni ngapi tutakua hapa hapa
 
The SGR train service will begin operations soon...Abiria watakiwa kulipa kati ya shilingi mia tano na shilingi mia nane za Kenya...hii ni kama TSH 11,000 na TSH 17,000...
On May 31st, the president will take a ride to officially open the multi-billion dollar project. It’s not yet clear whether the service will be available for Kenyans immediately after that but we’ll have to adopt a wait and see approach.
sgr15.jpg

An SGR locomotive is expected to take 4 hours to travel between Nairobi and Mombasa.

Buses take about 9 or 8 hours while old trains take nearly 12 hours.

18278877_737418116430915_2140737529153282274_o.jpg
18278301_737417983097595_4779642797726987144_o.jpg

Passengers will pay fares of between Kes.500 and Kes.800 for a one-way trip depending on where they are seating.

Transport Cabinet Secretary James Macharia told the Sunday Nation.
However, these charges will only apply for 6 months. Later on, they will later be adjusted to match market prices. So it seems like the good times will only last a short while.
The China Road and Bridge Corporation (CRBC) had initially proposed to charge Kes.4,500.
However, the government rejected this idea, saying it was not feasible. But seriously, who would have paid Ksh 4500 for that?
In total, there are 40 coaches. Each one has a capacity of 118 passengers in economy class, 72 people in business class, and 44 in first-class.

And if you aren’t living in Nairobi or Mombasa, there is no need to worry. There is a second category called the “County train” which will be making a stop at each of the seven intermediate stations at Mariakani, Miaseny, Voi, Mtito Andei, Kibwezi, Emali and Athi River on its way to either destination to allow residents of the said areas access train transport services.

18237962_737418093097584_2750969323886403937_o.jpg
18278893_737417976430929_6637783958566820802_o.jpg
18278187_737418059764254_6103494875457084289_o.jpg
18238234_737418123097581_1079246408405348866_o.jpg
The pricing is very affordable and I can predict that this thing will be fully booked till Dec holidays..
 
Dar Namanga Nairobi is officially dead! Mwendo ni Dar Tanga Mombasa Nairobi. COW oyee!
 
hii ni pricing ya kisiasa
You are right on this one. This charges are deceptively low. How long before bus owners sabotage the system. Who will pay the almost 2k for 8 hrs on the bus when they can get better service, at a quarter of the cost, in half the time? What happens to the bus operators?
 
tafadhali rudisha wivu kule jukwaa ya TZ.....jengeni reli yenu kwanza alafu uje u comment hapa...hapo tutakuelewa...kwa sasa, hamna chochote...kwa hiyo fyata!
Hahahahaha,
Ataufyata tu.

Huku bado ngoma ngumu.
Tunafanya mambo kwa kukurupuka tu kuwaiga nyie ila bila kujipanga
 
Mbaya sana. I would prefer travelling by bus.
sababu zako ni gani? kumbuka treni iko safe kuliko basi..umesahau juzi basi ilinyakua maisha ya wanafunzi 30? treni haina ajali za ovyo ovyo
 
You are right on this one. This charges are deceptively low. How long before bus owners sabotage the system. Who will pay the almost 2k for 8 hrs on the bus when they can get better service, at a quarter of the cost, in half the time? What happens to the bus operators?
This is what is called competition...the buses will be forced to bring down the prices and offer better services...maybe the OVERTAKING MADNESS ,AND RECKLESS DRIVING THAT CLAIMS THOUSANDS OF LIVES EVERY DAY WILL BE A THING OF THE PAST..
 
Lol ww unapandaga basi gani kuenda mombasa braza??

Unaongelea ummoinner ama Coast bus coz u clearly havent been in one ...

Ushawai skia Basi za kwenda mombasa zimepata Ajali?
 
Back
Top Bottom