SERUKAMBA: Kwa hili la mchanga wa Madini, MAGUFULI atatikisa dunia

Wakati Tundu Lissu anasota rumande kwenye sakata la madini na Zitto kusimamishwa vikao vya bunge mbona hawakusema tuungane?!! Wapuuzi kabisa hawa!
Wana ccm nadhani wanatakiwa wapimwe akili wakiwemo wabunge ni mizuzu haijawahi tokea, hata ukiwa mjinga lkn si kiwango hiki. Waliwapa wenyewe wanajitoa akili leo wajinga ndiyo waliwao
 
Nani aliyekudanganya kuwa ukipigwa fine na mkataba unaisha? Fine ni kwa tatizo lililojitokeza na maisha yanaendelea. Solution zinatolewa kila mara nyie mmekazania anayepinga yuko upende wa wawekezaji.
 
Upuuuziii mtupu ,umeshindwa kubadilisha ndani ya nchi yako.ndio Leo iwe dunia nzima !!??
 
Heshima itajengwa pale tuu mikataba yote ya madini itakapowekwa mezani na kupitiwa upya,na waliovurunda kuingia hii mikataba kuchukuliwa hatua stahiki.
 
Serukamba, Sentongo, Semogerere, Majid Musisi Waganda hawa bana nawakumbuka sana enzi wakiichezea Villa football club ya Uganda ni wazalendo wazuri Waganda wale bana
 
Hata ujumbe wa nyumba kumi hata mpa. Anajikomba lakini ujuzi hana
 
Atatikisa dunia ya nani? Ya wachina, EU, Japan, Scandinavia, ipi?
kweli nimeamini kuwa mbunge ujue kuandika na kusoma tu na hii inathibitishwa na hawa watu hawajielewi. Hakuna hata mwenye habari na hilo maana biashara zote zinafanywa kwa mikataba pande mbili mkiwa hamjui ku negotiate upande wenu ndio mtaambulia mikataba mibovu ya 4%. Hivi huyu anajuwa NYSE wana trade kwa siku tu kama kipato cha nchi yetu almost 170$ billion kwa siku soko lina thamani karibia 18$ Trillion na hapo siongei NASDAQ huko ni balaa hapo hujaenda masoko mengine London sijui Japan huko trade za kutisha hapo UAE tu wako 300+$ billion sasa mchanga ndio ukatingishe dunia, mnatuabisha kwa kauli hizi tunaonekana wote ni wajinga watasema viongozi wako hivi sasa waliowachagua wako vipi? Dunia inatingishwa na masoko ya dunia sio vi container hizo ni pesa za kulipa mishahara locals employees.
 
Hivi sie watanzania kwanini tumejawa na kudharauliana hivi, ishu ni vyama ama akili zetu sote ziko sawa za kupimiwa kijiko?

Ulichoona ndicho hicho kinachojitokeza hapa. Ni ushabiki wa vyama. Maslahi mapana ya taifa yamewekwa uvunguni. Ama kweli, akina mangungo wa msowero bado wanaishi mpaka leo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…