Kati ya awamu zote za urais nchi hii,awamu ya tano imejaa wakurupukaji wengi.Viongozi wateule wanafanya maamuzi kwa kukurupuka mpaka rais JPM mtaan wameanza kumwita "WAKUKURUPUKA",zaidi ya kusitisha kubomoa kuna maamuzi mengi ndan ya siku zaid ya 60 za utawala wa jpm kuacha maswali kuanzia mkuu wa kaya mpaka kwa watendaji wake.Mawaziri walianza na ziara za kushtukiza wakalalamikiwa,wengine kuwatia ndan watumishi wakalalamikiwa,katibu mkuu kiongoz kuwa msemaj wa serikali wakamsema,wakwepa ushuru bandarin na makotena wakapewa muda wa kulipa,waganga wa tiba mbadala na asili,serikali ikawamba msamaha.Ina maana serikali inapofanya mambo yake haion athali zake.Achilia gharama zilizotumika ktk bomoabomoa hii kuna gharama za kuwalipa na kuwatafutia makaz mapya waliobomolewa kimakosa.
wameanza kuogopa baadhi ya wasimamizi wamedondoka na kufa nadhan wanahofu si mchezo kumvunjia mtu nyumba yake ya makaazi alafu mtu anatambaa tu kusikojulikana ni shida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.