MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Unashangaa nini sasa kuwa uyaone, ukiambiwa tumia laini hii leo ukakataa atawapelekea wengine wanaojua kuzitumia laini zote mbili kwa hiyo jifunze ku -adopt maisha ili ndoa idumu, muhimu usimlazimishe