Serikali yamfukuza bosi wa UN, aondolewa nchini ndani ya saa 24, adaiwa alikuwa na malengo tofauti

Mbona uyo katibu anajichanganya? Mara alikua na mgogoro na wafanyakazi mara alikwamisha serikali. Kwanini wasiseme ukweli?
Mkuu ameeleza vitu ambavyo vinaleta sitofahamu huyo Katibu, labda ukweli uko Serikali au UN kupitia viongozi wakuu
 
Nyie misukule mange ndio nan? Yaani jitu lifanye kazi tofauti na iliyomleta alafu liachwe tu, lingeleta madhara mngesema usalama wa taifa umeoza limeondolewa mnalalamika duh.
Alijisemea Mr blue "bongo nyoso,bongo balaa"... Ukifanya au usipofanya kwa wabongo unaonekana umekosea tu,...uzuri wake ukikaa kimya huwa yanaisha ndani ya muda mfupi.
 
Nyie misukule mange ndio nan? Yaani jitu lifanye kazi tofauti na iliyomleta alafu liachwe tu, lingeleta madhara mngesema usalama wa taifa umeoza limeondolewa mnalalamika duh.
utakuwa kada wa ccm wewe sio bure
 
Nyie misukule mange ndio nan? Yaani jitu lifanye kazi tofauti na iliyomleta alafu liachwe tu, lingeleta madhara mngesema usalama wa taifa umeoza limeondolewa mnalalamika duh.
Kosa lake eti amesema cuf.wamepokonywa ushindi Zanzibar je ni kosa?
 
Ifahamike ya kwamba serikali yoyote ikiwa sawa ama sio sawa... endapo mtu yeyote atakaye weka ama kuashiria vitisho vya kiuchumi jamii ama usalama wa nchi kutokana na interest za nchi. Basi huyo mtu hatohesabiwa haki na nchi husika.

Edward Snowden pamoja na asange walitoa siri nyingi za us kwa kuonyesha us wanakosea wapi sasa mpaka sasa hao watu wanasakwa balaa.

Kuna muda huwezi kuingilia kazi ya serikali, haswa kwa kuandika kwenye mitandao ukizani utaibadilisha serikali na malengo yake.

Ninachoweza amini huyu mama wa UNDP kuna kitu tu alibugi kinyume na malengo ya serikali. Iwe alikuwa sahihi ama lah itamghalimu tuu.
sidhani kama ni issue ya kisiasa, kuna kitu kingine tu bado mapema tutakijua
 
Acha uongo wewe nani kakwambia Julian Asange anasakwa , yupo tele pale uingereza anaendelea kufichua mpaka ujinga wa uingereza Enquiries and Contact
Hahahahaha we jamaa boya kweli na kujiamini kote unaweka hadi na links za contacts ili nimpigie au!!?

Julian yupo uingereza sawa ila sio kwenye ardhi au mamlaka ya waingeleza. Yupo katika ubalozi wa ecuador ndipo alipo pata asylum hapo. Na akitoka tu hapo anakamatwa. Kataa uje na number za simu za snowden kabisa
 
Tanzania zile moral nadhani zimeisha kabisa.....yani wahusika wakuu wanarushiana mipira.

Ni sawa baba amfukuze brki tatu then aseme mama ndio anajua kwanini nimemfukuza, akifatwa mama anasema rudini kwa baba ndio anajua.
Makubaliano ya kidiplomasia (vienna convection) inaipa mamlaka nchi mwanachana kumfukuza ama kumkataa mwanadiplomasia /balozi bila kutoa sababu zozote kumbuka balozi wa ujerumani alikataliwa nchi ya ujerumani ikawa haina mwakilishi karibu mwaka mzima
Kosa lake eti amesema cuf.wamepokonywa ushindi Zanzibar je ni kosa?
 
Makubaliano ya kidiplomasia (vienna convection) inaipa mamlaka nchi mwanachana kumfukuza ama kumkataa mwanadiplomasia /balozi bila kutoa sababu zozote kumbuka balozi wa ujerumani alikataliwa nchi ya ujerumani ikawa haina mwakilishi karibu mwaka mzima
Sawa.lakini si kweli kwamba katika kufukuzwa kwake hakuna sababu hata kama hawajaitoa.vinginevyo serikali yetu itakuwa imechanganyikiwa.
Hatupendi kuambiwa ukweli.maana ukweli unatutesa.na kutuumiza.
 
namsoma kimambi naona ni tofauti na walivyoandika, ni issue nyingine kabisa, kimambi keshamwaga ubuyu, inasikitisha aisee
 
Yaah mkuu tutajua... ila pia inawezekana tukajua uongo ukweli usitufikie. Maana hapa bongo kila mtu ni mtoa taarifa ni juu yetu kuchambua.
namsoma kimambi hapa, tofauti na gazeti lilivyoelezea, ni issue ambayo imesukwa siku nyingi ya kumuondoa huyu mama kwa manufaa ya wachache, na wamefanikiwa,
 
Makubaliano ya kidiplomasia (vienna convection) inaipa mamlaka nchi mwanachana kumfukuza ama kumkataa mwanadiplomasia /balozi bila kutoa sababu zozote kumbuka balozi wa ujerumani alikataliwa nchi ya ujerumani ikawa haina mwakilishi karibu mwaka mzima
Safi sana kaka.
 
Ifahamike ya kwamba serikali yoyote ikiwa sawa ama sio sawa... endapo mtu yeyote atakaye weka ama kuashiria vitisho vya kiuchumi jamii ama usalama wa nchi kutokana na interest za nchi. Basi huyo mtu hatohesabiwa haki na nchi husika.

Edward Snowden pamoja na asange walitoa siri nyingi za us kwa kuonyesha us wanakosea wapi sasa mpaka sasa hao watu wanasakwa balaa.

Kuna muda huwezi kuingilia kazi ya serikali, haswa kwa kuandika kwenye mitandao ukizani utaibadilisha serikali na malengo yake.

Ninachoweza amini huyu mama wa UNDP kuna kitu tu alibugi kinyume na malengo ya serikali. Iwe alikuwa sahihi ama lah itamghalimu tuu.
Ni kweli itamgharimu maana hata kule UN anaweza akose SIFA za kutumikia UNDP .
 
Back
Top Bottom