Serikali, shusheni umri wa kustaafu utumishi wa umma uwe miaka 50-55

Mimi ni mtumishi natamani sana wapunguze hiyo miaka kwani hata life span imepungua sana [HASHTAG]#mayoooo[/HASHTAG]
 
uko smart aisee kaza uko uko nawala hautasikia unaambiwa ustaaf kulima
 
Kwa jinsi serikali inavyopata kigugumizi cha kutoa ajira kwa vijana, nashauri wapeleke muswada bungeni ili umri wa kustaafu uwe miaka 50 ( kwa hiari ) na miaka 55 (kwa lazima ) ili wapate nafasi nyingi za kuajiri vijana.
Pia yale masharti ya kukata asilimia ya mafao myaondoe ili watu wachukue vyao mapema wawaachie nafasi muajiri SERENGETI BOYS.
Ni hayo tu kwa leo.
Pia serikali iweke utaratibu kwa watu wanaohitaji kustaafu kwa hiari yao Hata kama hawajafikisha umri wa kustaafu kwa hiari au kwa lazima waruhusiwe kufanya hivyo. Kuna watu wamechoka ila wanashindwa kuchomoka kwa kigezo cha masharti ya kustaafu na pension. Hii itasaidia kutoa nafasi mpya za ajira, nguvu mpya, weledi mpya na ubunifu.
 
life expectatin ya hp tz ni 64.94yrs kwa takwimu za 2014.... inamaana mfanyakazi anafanya kazi hadi zaidi ya makadirio ya kuishi....
 
Back
Top Bottom