Serikali kupitia TCRA yavifungia Vituo vya Redio na TV vikiwemo Star TV, Uhuru FM, RFA...

Jamaa wamenyamazishwa nini? Walisema watafunga usiku wa jumapili na mimi ninavyojua ofisi za serikali huwa hazifanyi kazi wikiendi sasa wamelipa lini au ndio ile kauli ya sitakutupa inafanya kazi
 
Back
Top Bottom