ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 59,064
- 69,747
Nitoe wito Kwa Serikali Kupitia Wizara ya Ujenzi,Wizara ya Mipango na Wizara ya Fedha itafute pesa hata Kwa Mkopo kutoka Taasisi za Kimataifa za Fedha Ili kujenga Barabara ya kimkakati kutoka Mpanda Hadi Mtwara via Iringa.
Kwa nini nasema hiyo ni Barabara ya kimkakati ni Kwa sababu itaunganisha Mikoa ya Kanda ya Magharibi ya Kigoma na Katavi na pia Nchi za DRC na Burundi Moja kwa Moja na Bandari ya Mtwara hivyo kuipunguzia mzigo Dar Port.
Barabara nazopendekeza itaanzia Mpanda-Inyonga-Rungwa JCT-Rungwa GR-Iringa na Kutoka Iringa-Kilolo-Idete-Malinyi-Nyerere NP-Liwale-Mtwara.
Barabara hii itafungua Uchumi mkubwa sana sio tuu Kwa kuunganisha Mikoa 7 ya Kigoma,Katavi,Singida,Mbeya,Iringa,Lindi na Mtwara.Itatumiwa na Malori mengi sana ya DRC kama alternative to Dar Port.
Apart from Kuchochea uchumi pia itakuza Utalii kwenye Hifadhi za Kusini hasa Ruaha & Nyerere.Natambua Kuna Barabara nyingi muhimu Kwa uzalishaji ila hiyo nimeitaja kwangu ni muhimu zaidi Kwa sababu nilizobainisha.
My Take
Tuache kuwa na fikra za kisiasa na Upendeleo badala yake tufikirie kimkakati Kwa maslahi ya Nchi.
Kazi imeanza huku 👇👇