RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,736
- 4,298
Kitendo cha serikali kushindwa kusimamia rasilimali za nchi na kuendelea kukaririshwa ubinafisishaji watanzania wamebakia kuwa maskini huku wale wanaoitwa wawekezaji wakijipatia utajiri ,hayo tumeyaona kwenye sekta ya madini mikataba mibovu iliyoingia serikali imesababisha tanzania kubaki maskini.
Siamini serikali kuishi kwa kukariri kwamba haiwezi kufanya biashara et tuzipe sekta binafsi hususani swala la bandari naamini usimamizi mbovu wa serikali ndio u!emesababisha kushindwa kuweka miundo mbinu imara ya bandari ambapo wizi rushwa na hila za kujuana ndani ya serikali ndizo zinapelekea bandari zetu kuwepo utendaji mbovu.
kwa kuendelea kukariri hivihivi serikali tutarajie mashirika yote ya umma kuja kufilisika mimi nasema kwamba kama mtaendelea kuteuana kwa ajiri ya ulaji msitegemee kupata matokeo chanya katika sekita mbalimbali mtabaki kusutana na kutukanana huku mashirika ya umma ya kianguka, ndipo serikali itakosa gawio na mashirika hayo yatatanga hasara kila mara.
Serikali iache kuingia mikataba tata kwa kivuli cha ubinafisishaji huku wachache wakineemeka wengine wakibaki maskini hii siyo sawa zama za giza zimeisha! zama za kutoa percent kwa wasemaji eti kuwaziba midomo na kupitisha mikataba tata zimeisha.