Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,765
Habari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.
Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.
Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.
Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.
Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.
Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.