Serikali imefeli 'coursework',itafanyaje 'UE'?

Wakati wa kusoma kwangu chuo kikuu,majaribio iliitwa Coursework. Mitihani ya Muhula wa kwanza au wa mwisho yaliitwa University Examinations-UE. Kufaulu coursework kulimuwezesha mwanachuo kufanya UE.

Serikali ya awamu ya tano,chini ya Rais Magufuli, inajinadi kama Serikali ya viwanda. Viwanda vinapaswa kupangwa,kujengwa na kusimamia/kuratibiwa. Kwenye sekta ya sukari,Tanzania ina viwanda vinne:TPC Moshi,Kagera Sugar,Mtibwa na Kilombero. Viwanda hivi,katika kuvisimamia,ndiyo ingekuwa Coursework ya Serikali ya viwanda.

Serikali inashindwa kuratibu ipasavyo viwanda hivi vinne. Inafeli Coursework. Itakuwaje UE ya kuwa na nchi ya viwanda?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)
Asante Mzee Tupatupa kwa kuwa mwenye maono sahihi, sengwili sana bambo!!
 
Wakati wa kusoma kwangu chuo kikuu,majaribio iliitwa Coursework. Mitihani ya Muhula wa kwanza au wa mwisho yaliitwa University Examinations-UE. Kufaulu coursework kulimuwezesha mwanachuo kufanya UE.

Serikali ya awamu ya tano,chini ya Rais Magufuli, inajinadi kama Serikali ya viwanda. Viwanda vinapaswa kupangwa,kujengwa na kusimamia/kuratibiwa. Kwenye sekta ya sukari,Tanzania ina viwanda vinne:TPC Moshi,Kagera Sugar,Mtibwa na Kilombero. Viwanda hivi,katika kuvisimamia,ndiyo ingekuwa Coursework ya Serikali ya viwanda.

Serikali inashindwa kuratibu ipasavyo viwanda hivi vinne. Inafeli Coursework. Itakuwaje UE ya kuwa na nchi ya viwanda?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)
Duh....

Hii hatari sasa....Hata kama unatumika hii ni too much...

Yaani serikali ina miezi 6 tu leo unasema imefail kuratibu ipasavyo viwanda vinne...As if serikali ina miaka miwili ama mitatu...

Sijui ni wapi ambako nchi ya viwanda imejengwa kwa miezi 6 tu....

Hata kama unamchukia Rais JPM na serikali yake hili la kumlaumu kwa kushindwa kuratibu viwanda vinne na kusema ni course work ni too much...
 
Nimebishana na mtu mmoja humu..... Kitaturu huku napita tu maana kensa imeota kwenye ini.
Na mimi nimebishana na mtu mmoja humu kuhusu hii ishu ya "Tanzania ya viwanda ya Magufuli". Na nimemwambia waziwazi kuwa, unalishwa upepo tena wa vumbi!!

Watu wako madarakani kwa zaidi ya 50yrs plus, wameshindwa kusimamia uzalishaji wa sukari tu yenye kutosheleza soko ingalau la ndani, leo wamelala na wameamka wanawaza na kutuaminisha kwamba in 5yrs to come Tanzania hii itakuwa ya uchumi wa viwanda!!

Lol..... this is total insane!!

Utakuwaje na ndoto za mchana za namna hii bila kwanza kufanya mageuzi makubwa ya kisera na mifumo ya kisiasa na kiuchumi inayoonekana na kueleweka kwa watu!!??

Viwanda gani hivyo vinavyoweza kuja tu kwa kauli za kisiasa za majukwaani?....

I absolutely don't get it na ofcourse nakubaliana na wewe JPM na CCM wameshadunguliwa na CW na obviousily hawana sifa ya kuruhusiwa kuingia kwenye UE!!
 
Kama hawakubali kushauriwa, je wanakubali kukosolewa?? Au ni vichwa vibovu kufikiri nje ya boksi, hamna mbadala bali kuponda tu??
Nikukumbishe; serikali kupitia raising walipiga marufuku uagizwaji wa sukari toka nje ya nchi. Wengi walilipinga wazo hilo lakini kamati mojawapo ya bunge ambayo kimsingi na kikatiba ndio washauri na watu au chombo kinachoisimamia serikali nacho kikapinga kwa vielelezo kuhusu wazo hilo. Usijifanye hukumbuki, halina hata miezi 2 and it was through mama wa Kimbulu bibi Mary Nagu. Sasa rudisha kumbukumbu zako alijibiwa nini na nini kimetangazwa juzi bungeni.
 
Mkuu kuna sehemu nimejaribu sana kutetea au kumtetea JPM kwa stahili hii ila wamenikomalia CCM ni ile ile na hizo za JPM ni lopo lopo tu eti, kama zile za Mkwere.

Nimeamua kutulia sasa na nachofanya now ni kusubiri at least mwaka mmoja na nusu nione kama wao au mie na wewe ndio tupo sahihi kifikra.

Mtihani wangu wa kwanza kwa JPM ni Lugumi, akiumaliza huu salama basi ntaanza mtetea kikamilifu.
Wee mzee akili yako kwa kweli iko ktk reverse mode, JPM ana mida gani?? Unaongea as if yupo madarakani miaka minne.

Alafu tendea haki UMRI WAKO, elimu yako NA MAONI YAKO, uwe umatoa na ushauri au kitu mbadala cha kufanya unapokosoa kitu kuwa hakiko sawa au haukiungi mkono.
 
Kama hawakubali kushauriwa, je wanakubali kukosolewa?? Au ni vichwa vibovu kufikiri nje ya boksi, hamna mbadala bali kuponda tu??
Labda wasemwe watasikia. Unajua hapa hakuna anayeponda bali tunapiga kelele kwa sababu tunaumia na hatuna jinsi. Viongozi wanajiona wanajua kila kitu kumbe hakuna . kumbuka na aliyekuja na maisha bora kwa kila Mtanzania inasikitisha sana kwani alifail na waliokuwa wakimshangilia Leo wanamtukana kwa kumtukutuza aliyeko naye si ajabu wakamponda akitoka madarakani.
 
Duh....

Hii hatari sasa....Hata kama unatumika hii ni too much...

Yaani serikali ina miezi 6 tu leo unasema imefail kuratibu ipasavyo viwanda vinne...As if serikali ina miaka miwili ama mitatu...

Sijui ni wapi ambako nchi ya viwanda imejengwa kwa miezi 6 tu....

Hata kama unamchukia Rais JPM na serikali yake hili la kumlaumu kwa kushindwa kuratibu viwanda vinne na kusema ni course work ni too much...
Balantanda habari ya siku nyingi mkuu? Hivi unaposema serikali hii ina miezi 6 unamaanisha nini? Kwani wao ni wapya au wanajipya gani? Hivyo viwanda vilikuwepo na wanashindwa kuvi simamia tuu jee wataweza kusimamia nchi ikiwa ya viwanda? Jibu hata mtoto atasema hapana.
Miezi sita hatusemi viwanda vipya vionekane lakini hata mpango haupo! Hata plot kutengwa hakuna!
Kwenye hili la viwanda tusidanganyane watu wazima, tumechemka.
 
Duh....

Hii hatari sasa....Hata kama unatumika hii ni too much...

Yaani serikali ina miezi 6 tu leo unasema imefail kuratibu ipasavyo viwanda vinne...As if serikali ina miaka miwili ama mitatu...

Sijui ni wapi ambako nchi ya viwanda imejengwa kwa miezi 6 tu....

Hata kama unamchukia Rais JPM na serikali yake hili la kumlaumu kwa kushindwa kuratibu viwanda vinne na kusema ni course work ni too much...

Hujaelewa nilichoandika

Mzee Tupatupa
 
Back
Top Bottom