Serial Killer

"A serial killer is a person who typically murders three or more people, usually in service of abnormal psychological gratification, with the murders taking place over more than a month and including a significant break (a "cooling off period") between them" according to google.
Kwani ungeandika kiswahili ungepungukiwa nini?
 
Nilipata kusikia kwa dada mmoja wakati fulani kuna mzungu alikuja basi yeye akawapeleka rafiki zake wakawa wavunja tu amri ya 6 ,yeye anachukua hela zake anasepa ,Mzungu alikuwa na pesa kweli kweli leo akilala Serena ,kesho Double tree ,kumbe jamaa alikuwa muuaji anatafutwa na hawa polisi wa dunia ,huyu anaye wauza wenzake akapigiwa simu na polisi wa dunia na wakaweka mtego wakamkamate mzungu ,sasa lile lizungu sijui ni FSB akapotea kwenye mazingira ya kutatanisha ,alikuwa anahusishwa na mauaji ya wanawake sio chini ya 50 popote aendapo duniani

Kilicho shangaza hawa dada zetu wa kibongo hakuwaua ,sijui alikutana na mtoto wa Kitanga anamuogesha na maji katia iliki na mdalasini ,mwili umechorwa hina atafuna kungu tu macho yamelegea akikuangalia kama akata roho ,K yaoshewa asali ,bafuni wabebwa mgongoni mweeee Tanga raha
Umenichekesha mkuu. usikute alikuwa kwenye "cooling off period" ambayo anaweza kukaa hata miaka 20 hajaua
 
Ila jeshi letu halina kitengo cha homicide na mambo ya forensic

Tafuta series inaitwa Dexter ni nzuri inahusu serial killer aliyekuwa anaishi double life
 
Ila jeshi letu halina kitengo cha homicide na mambo ya forensic

Tafuta series inaitwa Dexter ni nzuri inahusu serial killer aliyekuwa anaishi double life

Mkuu, Jeshi letu lina vitengo vingi sana, ila haviko published au viko overworked, lakini kama kukamata wauaji, investigations etc my friend mtu anaweza kupatikana mara moja wakitumia intelligence zao usifanye mchezo! hawavumi lakini wamo, kwa mfano, its only 5yrs ago (roughly) ndio chief wa MI6 alijulikana kwa sura before that hakuna hata mtu mmoja aliewahi kumjua kuwa ndie yeye/kumuona in public. Am sure wako tena makini...in plain sight...labda avitangazwi tu kwasababu izo izo wasizosema kuhusu uwepo wa serial killers.
 
Kwa watanzania kuna watu wanaua kwa kulipiza visasi,ujambazi,hasira za ghafla .kimsingi ili huyu Muuaji afaidike kitu.Sio kuua tuu ili apate Raha.Nitaomba wenye kubisha wanitajie muuaji Mmoja tuu liyekuwa anaua watu hovyo ili tuu apate raha katika mtindo huo wa kuwa na cooling off period bila kuwa na sababu ya msingi.
 
Hata mtu mwenye "ngoma" ambaye anaambukiza wenzake huku akijua fika anachokifanya,serial killer.
 
Hata mtu mwenye "ngoma" ambaye anaambukiza wenzake huku akijua fika anachokifanya,serial killer.
Mkuu hao hawapati raha katika kitendo hicho cha kuambukiza.wanapata raha ya kawaida ya sex.halafu from definition hawana cooling off period tofauti na serial killer.
 
Wapo wengi tu! Wachawi wote ni serial killers!
nimecheka sana mkuu, pamoja na wale wanaoenda huko? doh, okay! ila haijawahi kutokea mchawi akafunguliwa kesi kwa mauaji kwa kutumia ndumba zake. interesting!
 
Kwanini unakumbuka tu mauaji ya madadapoa waliouwawa na kutelekezwa nyumba za wageni?
 
Mkuu hao hawapati raha katika kitendo hicho cha kuambukiza.wanapata raha ya kawaida ya sex.halafu from definition hawana cooling off period tofauti na serial killer.
Kwa maana kwamba wao wanakuwa hawana sababu ya msingi ila wanaona raha tu kuua?
 
Kwanini unakumbuka tu mauaji ya madadapoa waliouwawa na kutelekezwa nyumba za wageni?
Nilikuwa Mwenge na mzee mmoja akawa anaongelea hii story, alikuwa akiwaambia wasichana wasirubunike kwenda gesti (ata sikumbuki nilikuwa nafanya nini hapo Mwenge!), akisema kuwa kuna mdada mwili ulikutwa gesti, with some gory details-sijui utumbo umemwagika nje.... Why it stuck with me is that, baada ya hapo nilioona hii story in Alasiri au Kiu, not too sure which, but i believe i did see the story on a newspaper.
 
Back
Top Bottom