Watumishi wa Mungu tu watu wenye kujali na waaminifu, naamini atakuja kujibu soon kabla ya ibada ya Jumapili.Akijibu niite
Hahahaha!!..Unafufua vitu vilivyokufa kivipi yaani? maana hata kama ulikua na pasi iliyokufa ukaitengeneza ikawa nzima unakua umeifufua ujue?
Tesha! Tesha, hivi unabii unaujua vizuri wewe, unabiii huu huu aliokua nao Musa, Miriam, Daniel ,Mika na wengineo? Haya unayoyatangaza hata Mtume Paulo hakuwahi kufanya hivi nakuhubiri kwake kote,
Huwa naona wengine wanarusha vipindi kwny TV, halafu namba za simu zinapita eti utoe sadaka ...!Nabii wa kujitangaza..uongo na wizi mtupu...
Nabiiiii?? Nyie ndio matapeli wakubwa mnaoendelea kuibia watu mchana kweupe. Mchaga wapi na wapi unabii, unakuja kufanya biashara ya kiroho sio. Tuliza hizo Pu. mbu. kafanye kazi nyingine hata kilimo. Kijana mdogo unajifunza utapeli, usipite kwenye anga zangu nakukata hayo masikio.Leo Ijumaa mpaka Jumapili nitafanya semina kubwa ya kufufua vitu vilivyokufa Ijumaa na Jumamosi muda ni saa kumi jioni kamili na Jumapili ni saa nne asubuhi nikihitimisha na ibada kuu.
Wote mnakaribishwa.
[HASHTAG]#prophetic[/HASHTAG] machine.
[HASHTAG]#Prophet[/HASHTAG] Linus Tesha.
View attachment 499106
Nilielewa vingine mada... atafufua yale yaliyopita kimya kimya yaani Richimond, Meremeta, Buzwagi, EPA, na mengineyo ambayo serikali hazikuchukua hatua hivyo unatoa semina kwa wabunge wapya ili kuiwajibisha serikali