herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,141
- 4,721
Mwakyembe alikuwa naYAKEmkuu ripoti ni one sided,subiri mziki wa mahakamani kama acacia wataipinga ripoti..tusubiri,nikifikiria pumba za kamati ya mwakyembe na richmond naogopaga kushadadia haya mambo ya mawakili wasomi.
kwa nini unadhani mruma hana yake?Mwakyembe alikuwa naYAKE
Watu aliokuwa nao Mwakyembe ilikuwa rahisi sana yeye kuwabuliza, akina Manyanya, Mnyaa na Lucas Selelii huwezi kuwalinganisha na timu ya Maprofesa wabobezi wa jiolojia na kemikali aliopewa Profesa Mruma.Mwakyembe alituambia ilibidi aache mambo fulani ili kuinusuru serikali lakini Prof Mruma anamwambia Rais kama kuna utata wowote ktk ripoti asisite kuwaita watoe maelezo, lakini kubwa zaidi ameomba kama itampendeza Rais wananchi wagaiwe copy za ripoti.kwa nini unadhani mruma hana yake?
Ni vigumu sana kuwaunga mkono watu waliotufikisha hapa tulipo otherwise watanzania wote walioko magerezani nao wote wasamehewe.Hata kama hatutalipwa lakini its one step ahead mchanga hautasafirishwa lakini hata kama ukisafirishwa sasa ni kwa better negotiated terms which favor our own side. This is Nyerere's attitude, we better stay with it here until either we smelt it or we ship it with the new negotiated terms. Am purely in support of opposition but with this issue of mchanga, we better be patriotic, its a national interest issue, we better all as one support our mama tanzania, support our president!
Mimi nilikuwa simsomi Magu lakini leo kwa mara ya kwanza nimemsoma, he's trying to shape something. Today even the oppostion leaders have either congratulated the commission or Mr. Presisent himself!Jiulize kwanza mbona Magu analalama tu na hataki kuingia kwenye swala la mikataba?
mkuu umenichekesha aiseeKweli kabisa mkuu magufuli aangalie watz saivi kila mtu ana tgopesa na mpesa ...hayo mapesa mengi sana ...wafanye mihamala kwa kila mtanzania
Hili ndilo lililotakiwa kuhojiwa na WaTz, ajabu watu wamelenga zaidi kiki!!Jiulize kwanza mbona Magu analalama tu na hataki kuingia kwenye swala la mikataba?
Mimi mbona hii ripoti ya uchunguzi wa makontena inanichanganya? Ina maana yale makinikia 92.5% yote ni madini na mchanga ni 7.5%, sasa kwa nini wanaita mchanga na wasiite tu madini? Maana nimejaribu kujumlisha ule mchanganuo wa viwango vya madini yaliyokutwa kwenye kontena la tani 20 unakuta madini yako tani 18.5! Mimi sielewi!! Tulie na wabunge wa ccm katika hili!!Ni vigumu sana kuwaunga mkono watu waliotufikisha hapa tulipo otherwise watanzania wote walioko magerezani nao wote wasamehewe.
Hapo sumu. We muulize atuwekee mikataba wazi uone atakavyoruka ruka.....Jiulize kwanza mbona Magu analalama tu na hataki kuingia kwenye swala la mikataba?