Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 518
- 913
Nchi ya Japan inakua taifa la kwanza duniani kuweza Kutuma satellite ya mbao inaitwa "Lighnosat" imeundwa na chuo cha Kyoto university wakishiliana na Sumitomo forestry, ISS kupitia roketi ya SpaceX.
Imeundwa kwa mbao ya magnolia Iko kama mninga ngumu ikiwa 10cm ya mchewamraba lengo kuu ni kupima uwezo wa Kuni ikiwa angani kama inaweza kuhimili Anga kwa maendeleo ya baadae.
Jina ilo limetokana na neno la kigiriki lenye maana ya mbao ambao umeundwa kutoka mti wa magnolia Unatumiwa sana na wa Japani kwenye kuunda Teknolojia mbalimbali kwani hauitaji screw kufunga.
LingnoSat itaweza kuzunguka kwenye obiti ya Dunia ndani ya miezi sita ikitokea ikafanikiwa kukaa angani bila changamoto yoyote basi Teknolojia hii inaweza kuwa endelevu ulimwenguni badala ya kutumia Chuma tukaamia kwenye muundo wa mbao.