Satakata la kubadilisha majina kwa sababu za kielimu ni kubwa Tanzania

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,428
13,936
Kama ukitafuta ukweli kuhusu wangapi leo wasiotumia majina yao walioanza nayo darara la kwanza utashikwa na butwaa. Kuna umati mkubwa wa watu ambao wameshikilia nyazifa mbalimbali ambao majina waliyonayo sio yao ya asili kutokana na ama kurudia shule ama kutumia vyeti vya watu wengine. Na usishingae ukakuta hata ma professor wamo humo ndani, au mnabisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…