Samsung zilizofungiwa na TCRA

asee uko mbali sana na nilipo... nadhani hata huko kutakuwa na mafundi na miongoni mwao kutakuwa na fundi mzuri. nenda tu uwapelekee au uende k koo utafanikisha kwa elf15 had 20
Wewe uko wapi mkuu
 
Hawa jamaa TCRA siwaelewi mimi...kuna simu Samsung s5 nimemletea shemeji yenu..nimenunuwa South na nilikuwa naitumia kama miezi mitatu kule..kule south... .cha ajabu hapa haifanyi kazi..imefungwa.. wamasema feki..sasa najiuliza hii S5""iliyofungwa..ni kweli fake?nimetumia miezi 3 mbn haikufungwa kule?hawa jamaa....siku nitawafata ofisini waniambie huo ufake upo wapi?BEN CHOOT..
 
kama cyo imei zako zime corrupt bac huenda ikawa imei zimefanana na za cmu nyingine na mazingira yanayopelekea imei kufanana ni free certificate ambazo hutumiwa kwenye cmu zaidi ya moja ambapo bdae zote huwa blaclisted au utumiaji wa super imei kwani hutumiwa na watu wengi kwahyo TCRA wanapoona imei zimefanana huwa wana blacklist na cmu yako inakosa uwezo wa kupokea signals.. kufungiwa haina maana ni fake bt ni kutokana na hayo mazingira
 
Sasa hao TCRA watanisaidiaje
 
mkuu kuna simu yangu hapa note4 inakuwa inabagua laini nikiweka laini ya vodacom ..halotel..plus airtel simu inapiga mzigo fresh tu ila nikiweka laini ya tigo inaanza sumbua mara isome laini ipo sometimes hai detect kabisa laini ya tigo tatizo litakuwa nn waheshimiwa msaada tafadhali
 
asee uko mbali sana na nilipo... nadhani hata huko kutakuwa na mafundi na miongoni mwao kutakuwa na fundi mzuri. nenda tu uwapelekee au uende k koo utafanikisha kwa elf15 had 20
Anatumia simu gani? Kwa S5 kama yangu aandae si chini ya 25,000 Mkuu.
 
Hawa jamaa TCRA siwaelewi mimi...kuna simu Samsung s5 nimemletea shemeji yenu..nimenunuwa South na nilikuwa naitumia kama miezi mitatu kule..kule south... .cha ajabu hapa haifanyi kazi..imefungwa.. wamasema feki..sasa najiuliza hii S5""iliyofungwa..ni kweli fake?nimetumia miezi 3 mbn haikufungwa kule?hawa jamaa....siku nitawafata ofisini waniambie huo ufake upo wapi?BEN CHOOT..
Tatizo lako ni kama langu, nimenunua hii simu nje na ikafika hapa ikafanya kazi vyema kwa miaka 2 ila sasa hivi IMEI imebadilika.

Kwa kweli TCRA System zao ni mbovu saana, na sijui kwanini Tanzania tunafanya mambo ya kukurupuka kama haya, kwanini wasifanye majaribio na kujihakikishia juu ya hili jambo kabla hawajachukua hatua.
 
Mimi mwenye nashangaa sana..simu mpya kabisa..wanakwambiya fake..sasa najiuliza..hawa niwafanyaje..nilitaka niwafate ofisini wanieleze fake yake nn hasa..kwny sm yangu...nimeenda kkoo wanataka 70000.. Kuifunguwa..lakini pia ni kuweka simu at risk...why..
 
70,000? Mimi niliambiwa 25,000. Na naangalia niende kesho.
 
Elfu 25,000 .?
Certificate wanauza $20 abayo kwa exchange rate ya crdb ni sh kama sh 46,000 . Sasa huyo anaefanya cert ya s5 kwa sh 25,000 ujue unakuwa at risk maana atakua anatumia cert moja kwenye simu nyingi. Na baadae utashangaa imefungwa tena. Ila huyo wa sh 70,000 yaweza ikawa 1 cert per unit.
 
sasa mkuu tusaidie kidogo... kwa ambaye anakwenda kununua samsung leo atajuaje hii ni fake au og au ni refubrish... tusaidiane hapo!
 
Elfu 25,000 .?
Certificate wanauza $20 abayo kwa exchange rate ya crdb ni sh kama sh 46,000 . Sasa huyo anaefanya cert ya s5 kwa sh 25,000 ujue unakuwa at risk maana atakua anatumia cert moja kwenye simu nyingi. Na baadae utashangaa imefungwa tena. Ila huyo wa sh 70,000 yaweza ikawa 1 cert per unit.
Mkuu, hakuna ambae hapendi kwenda kununua hizo za 70,000 au kwa Samsung wenyewe kwa 130,000. Tatizo linakuja pale ambapo mtu hauna hiko kiasi kwa muda huo. Samsung ukitoa hiyo 130,000 na bado simu utaiacha kwa siku 5.

Mbaya zaidi mimi hata sijaibadili IMEI hii simu ila ni yenyewe, sasa hapo Mkuu nani wa kulaumiwa?
 
Back
Top Bottom